KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Ukweli unaoSiwezi kuja huko Vijijini,nitaenda Bukoba walau Huwa kunanivutia.
Utahangaika sana akili Yako inashida ndugu mwanza Jiji kubwa lenye stand nyingi nazan ukiona MABUS hapo nyegez utazan new York Sasa kama hyo inawakalisha skatai pengine huko kusini ndo bus pekee inayokja hko
Hayo mavumbi ndio Newyork ya Mwanza is slum 😁😁😁😁😆😆😆Utahangaika sana akili Yako inashida ndugu mwanza Jiji kubwa lenye stand nyingi nazan ukiona MABUS hapo nyegez utazan new York Sasa kama hyo inawakalisha skatai pengine huko kusini ndo bus pekee inayokja hko
Ndio ni slum maana ewe shoga akili zsko za kishoga sanaHayo mavumbi ndio Newyork ya Mwanza is slum 😁😁😁😁😆😆😆
Huko kusini mtu yeyote akiajiriwa lazima akimbie sio mm peke angu mmekimbia kimbia hko acha ushoga akili ikukaeHayo mavumbi ndio Newyork ya Mwanza is slum 😁😁😁😁😆😆😆
Kusini ya wapi? Kwa hiyo atakimbia kwenye neema aje Geita au? 😆😆😆😆😆Huko kusini mtu yeyote akiajiriwa lazima akimbie sio mm peke angu mmekimbia kimbia hko acha ushoga akili ikukae
Jamaa anashangaa nyegezi ,Kuna mtu anaitwa kitombole 😝😝
Upo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jijiMbeya ichukue Mbalizi iwe Manispaa,Uyole Manispaa na Jiji Mbeya CC itafikia walau watu 650k maana sioni sababu ya eneo la kuanzia Songwe Viwandani kuachwa Nje ya Jiji wakati eneo lote limeungana..
Hii itasaidia kile eneo kupimwa mapema kuliko kuacha ilivyo Sasa makazi yanazidi kusogea kwa Kasi opposite ya Songwe Airport,no one is responsible kupima.
Siasa uchwara za bongo ila songwe airport ingebaki songwe mbeya wakajenga kiwanja kingine lakin Kwa Sasa huo mpaka wa KISHAMBA sana walivokataUpo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jiji
Hofu yangu ni wakiliacha ,Mji utaota mabanda kama Mwanza,Kuna eneo kubwa pale na linatazamana na airport ingekuwa poa sana mamlaka zichukue na zianze upangaji na uendelezaji mzuri.Upo Sahihi kabisa lile eneo huwezi kusema ni mbeya vijiji ni bora waongeze kwenye jiji
Songwe ibakieje Songwe wakati ni Mkoa wa Mbeya pale?Siasa uchwara za bongo ila songwe airport ingebaki songwe mbeya wakajenga kiwanja kingine lakin Kwa Sasa huo mpaka wa KISHAMBA sana walivokata
Lake Nyasa wako wakubwa zaidi ya huyuHuyo ni samaki sangara
View attachment 2561821
Ule uwanja soon jina linabadilishwaHofu yangu ni wakiliacha ,Mji utaota mabanda kama Mwanza,Kuna eneo kubwa pale na linatazamana na airport ingekuwa poa sana mamlaka zichukue na zianze upangaji na uendelezaji mzuri.
Jidanganye bwashee,mapato ya ndani hayajengi kwenu labda mapato ya TRA na Madini nkNyie huko kusanyen mapato yaje yajenge miradi mikubwa mwanza,,
Utajua hujui 👇Yaan nakuona kama akili zako zmeliwa na nazan ulitumbuliwaga Sasa hutaki kukubali kosa lako unaendekeza chuki zenu na ubinafsi ndo umeidumaza mikoa ya kusini yote kulogana,wivu na ukabila ni adui wa maendeleo