Kahama VS Njombe/Mafinga

Yanaenda serikalin ndo maana wanachi wao maskini sanaa
Hapana mapato yote ya Halmashauri Huwa yanatumika huko huko sema tofauti inakuja kwamba Ukiwa Makao Makuu ya Mkoa Huwa Kuna previlages zinakuja Kwa hadhi hiyo..

Ndio maana Mikoa yote ambayo ni Makao Makuu ya Mikoa Yana Huduma nzuri kuliko ambayo sio
 
Halimashauri ndo serikali hiyo na ndomaana maswala ya kujenga miundombinu wanasubl kupewa hela na serikali kuu ikitenga bajeti na hayo mapato yanatokana na uwekezaji mkubwa kwenye migodi ya madini yanayolipa kodi kubwa na maeneo meng ya biashara
 
Umeandika nini sijakusoma
 
Hapana mapato yote ya Halmashauri Huwa yanatumika huko huko sema tofauti inakuja kwamba Ukiwa Makao Makuu ya Mkoa Huwa Kuna previlages zinakuja Kwa hadhi hiyo..

Ndio maana Mikoa yote ambayo ni Makao Makuu ya Mikoa Yana Huduma nzuri kuliko ambayo sio
Hii inatokana na sera mbovu ya matumiz ya rasilimali,sula ya miji yenye mali ina bidi irefrect mali iliopo eneo husika, bila kujali ni mkoani au wilayan.
 
Kinachotakiwa ni kuwa na kanuni ya magawanyo wa rasilimali Kwa Mikoa kulingana na vigezo sio kutegemea siasa kama ilivyo Sasa.
 
Mwanza cc nyamagana. 426154 ilemela 402175 total 828329 Haya Sasa waliokuwa wanasema population itafika milioni
 
Nikweli uko sahihi
Mwanza cc nyamagana. 426154 ilemela 402175 total 828329 Haya Sasa waliokuwa wanasema population itafika milioni
Hao lak nane niweng sana ni sawa na watu wa mkoa mzima wa njombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…