Kahama VS Njombe/Mafinga


Dar Mwanza sijui kaweka ya nini,hapo ndio kaharibu
Nilijua tu ulivyo mbeya ...hili tangazo ushaliona ...
Mwanza ndio kimbilio la matajiri wa mabus ..nishakuambia mpka sasa tuna makampuni 18 yanayofanya safari zake kwennda dar ,,,yakiongoza na katarux,alys na happy national ....
Navyo wajua wasukuma hawana dogo ,,sa hv ni mwendo wa G7 tu ,,,,baada ya muda mfupi utaona Kila kampuni Lina G7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
18 tuu? Unaweza kuwa na hizo kampuni ila idadi ya mabus ni chache..

Hadi Sasa Mbeya ndio route yenye bus nyingi ukiacha idadi ya kampuni, Newforce pekee anatoa bus 3 au 4 Kila siku kwenda Dar.

Kama ni Kimbilio hapo umeona Miji mingapi ya Nyanda za Juu Kusini? Tena njia Moja.
 
Sijui unaongea nini ...ally's ana mabus nane ya dar ,, zuberi ana bus 6 . happy national 6, katarama 4 ,Alfa 4, abood 6
Nyataya , phoenix, isamilo,nk.magari Zaid ya 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…