Kahama VS Njombe/Mafinga

Tumbili wa Mwanza watapita kimya kimya kama hawaoni vile πŸ˜‚πŸ˜‚

Go Mbeya Go
 
Wachimbaji wa Madini wa Chunya ni Wazawa ila Lake zone wanajivunia wazungu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunaendelea kuwasaidia usafiri maskini wa Kanda ya Ziwa.πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mabasi kama haya huwezi yakuta kule Kwa wapori pori wa Lake zone 😁😁.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…