KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Sikia kenge yaan MADINI ni GEITA, SHINYANGA,MARA, halafu ndo huko CHUNYA mgod uchwaraBaada ya Geita ,Chunya is second π
Kwawana harakati mambo hayo ni kawaida,kustikia matukio mengi mengi ujue Kuna maendeleo sio hko kwenu pamepoa kinomaHii hapa ππ€£π€£
Bwege hujui kuwa ebola imetoka Uganda, sasa kama hujui kuwa hizo ni geographical factors Tanzania imepoteza kuwa na mtu kama weweKagera ni lango la kuzimu na laana ,na ishieni huko huko msituletee balaa Kusini [emoji134][emoji134]
Ebola
Vip mwajuma bad unahangaika
Yanejengwa Kila Jiji ew fala
Jiji
Kaka huon profile yang mm mwanza mwanza broHebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...
Bukoba downtown View attachment 2556622
Hebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...Hawatapenda [emoji23][emoji23]
View attachment 2554828View attachment 2554829View attachment 2554830
Bukoba ni zaidi ya mbeya, jiji la viazi.Hebu niletee sehemu kama hii jijini mbeya...ukiileta natoka humu...
Bukoba downtown View attachment 2556701
Ghana panapendeza sana aseeRock city mwanza View attachment 2556663
Buswelu inazidi kupendeza tu.