ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,390
- 85,219
- Thread starter
-
- #14,101
Nyumba nzuri kabisa hizo ..utafananisha na vichanja vya huko ilemiYanazidi hayaView attachment 2554177
Siwezi ishi kwenye mamiji ya kisenge kama Mwanza Kila sehemu unayogeuka ni mabanda ya nguruwe ππNyumba nzuri kabisa hizo ..utafananisha na vichanja vya huko ilemi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi hatutaki mahayawani waishi hukuSiwezi ishi kwenye mamiji ya kisenge kama Mwanza Kila sehemu unayogeuka ni mabanda ya nguruwe
Mbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.Mbeya ndio jiji pekee Tanzania lisilo na keep left ya maana View attachment 2554199View attachment 2554200
Sent using Jamii Forums mobile app
Flyover ya matako gani ..hata kwenye mpango hammoMbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.
Vijiji.vya hovyo kama Mwanza ndio mnaona keep left ni kitu Cha maana
Mbeya ni uswazi jiji ZimaMbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.
Vijiji.vya hovyo kama Mwanza ndio mnaona keep left ni kitu Cha maana
Hizi ni nyumba Mitaa inaonekana na Barabara zinaonekana..Mbeya ni uswazi jiji ZimaView attachment 2554224View attachment 2554225
Sent using Jamii Forums mobile app
Makasiriko ya wivu usio na Tija,ujenzi umeanza just wait mda utasemaFlyover ya matako gani ..hata kwenye mpango hammoView attachment 2554221View attachment 2554222
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta procurement notice hapa ..ili nizimieMakasiriko ya wivu usio na Tija,ujenzi umeanza just wait mda utasema
Hii hapa ππ€£π€£Leta procurement notice hapa ..ili nizimie...nyie subirini njia nne kama za Sumbawanga hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli nothing in ...Baada ya Geita ,Chunya is second
Hakuna chochote huko Shinyanga ni mashimo tupu saizi
Poorly exposed..Hakuna chochote huko Shinyanga ni mashimo tupu saizi
πππ Mbona uchafu halafu ewe shoga unapenda kuwachafua wenzako wa mbeya huku unaishi ugogo umagawa nyuma Bora Uzi huu waachie wahusika sio unapost takataka
SMwanza Jitahidini mfikie level hizi za Jiji la Mbeya π₯π₯
Shoga mbona unapost uduvi