KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
πππ Mbona doro ukiwekeza mbeya hasara tu
Unajua hiyo reli kusini imepita TU yaan Haina manufaa kwenu kabisa
Ina manufaa Kahama na Mwanza ππUnajua hiyo reli kusini imepita TU yaan Haina manufaa kwenu kabisa
Njoo lake zone ujioneee uzuri wa nchi usiishi matakoni mwa nchiUnajua hiyo reli kusini imepita TU yaan Haina manufaa kwenu kabisa
Utqhangaika sana kama unataka kutaga..πππ Mbona doro ukiwekeza mbeya hasara tu
Napajua pote ni utopolo Sasa hapo maajabu Yako wapi Sasa
Maajabu haya hapa Sasa πππNapajua pote ni utopolo Sasa hapo maajabu Yako wapi Sasa
Nenda kote utakutana na maskini ukame na mavumbi ππJust imagine niingie geita,bukoba,mara,simiyu, nitakutendea haki au ntaonekana mnyanyasaji wa haki za wanyama pori wa kusini
Ndo maana huko maendeleo hamna maana ni mikoa ya mashamba unalima unasafirisha angalia Kanda ya kati,lake zone ,kaskazin, na pwani ni mikoa ya biashara TU na ndo maaana watu ni wengi mnoππ