Sikia pimbi nikupe ukweli wa Kijiji chenu Cha mbeya
Siasa zilianza kuiathiri Mbeya tangu enzi za Nyerere. Nyerere hakuipenda kabisa Mbeya.
Hata uwanja wa Sokoine ulitakiwa ujengwe na Wachina, Nyerere akakataa, akaamuru ujengwe na wafungwa. Ukaitwa jina uwanja wa Mapinduzi.
Serikali ilikuwa haijihangaishi na kupanga mji kwa mpangilio. Uzunguni, Uhindini, Soko Matola, π¬π Ghana, Majengo na Mbata ilipangwa na wazungu na sio CCM.
Serikali ya CCM ilipanga mitaa ya Soweto a.k.a Block Q, Ilimba, Sae, na Block T.
Zaidi ya hapo hamna ilichokifanya, labda ianze kuupanga na kuupima mji kisasa hivi leo