ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
- Thread starter
- #13,621
Mnaweza ilipa hii? Rader na Tower ya kuongozea ndege at
Songwe Airport
Mnaweza ilipa hii? Rader na Tower ya kuongozea ndege at
Kwenu Kuna Mji wowote wa kufikia aerial view ya Songea?AMKENI WENZENU WANALIA LIA SANA HUKO
The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
Oct 29, 2022
Add bookmark
#1
Bila kuchoshana,
Juzi hapo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu alitangaza ufadhili wa fani za kibingwa kwa watalamu wa Hospitali za Rufaa za Kanda na Taifa. Katika ufadhili huo unaoitwa Samia Health Specialisation, hospitali zote za kanda zimepata ufadhili wa kuwa bobezi kwenye baadhi ya fani.
Cha kusikitisha na kushangaza Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ya Mbeya haipo kwenye huo mpango. Kana kwamba haitoshi, Hospitali ya Kanda ya Kusini Mtwara nayo haijawekewa specialisation yeyote.
Swali, hivi kwa nini Serikali ya CCM imekuwa na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini mwa nchi kiujumla, hususani Mbeya?
Toka zama za Mkapa kumekuwa na hii tabia, kuna Miradi mingi tuu ilikwepeshwa na kupelekwa maeneo mengineyo. Kwa mfano airport pekee ya Kanda ya Songwe haujakamikika toka alivyoanzaga kujenga Mkapa.
Pia inashangaza kwamba hata viongozi wengi wanaotokea Kusini huwa hawafanyi cha maana, angalia Hayati Mkapa, PM, Pinda na sasa PM Majaliwa, kwani nyie viongozi hamuoni wenzenu wanachofanya?
Kwamba Kusini kwa ujumla hakuna watu na hakitakiwi kuwa na huduma bora kama kanda zingine? Hii mambo inakera sana.👇
Attachments
20221029_220712.jpg
20221029_220712.jpg
222.4 KB · Views: 4
20221029_220645.jpg
Onesha tembe ya Kanda ya ziwa kama tuna tembe
Songwe AirportKusini Kila siku mnalia kuhisi mnaonewa ila huko ni black harmit kabisa hivo tulien hakuna maajabu Mirad ya Nini sasa
Hospital ya kanda ya kusini kajenga JPM au nani? Unapenda sana lawama slzisizo na msingi! Huyo Samia wako ana maajabu gani?
Ujue nchi hii tambua ni kanda ya ziwa, kanda ya kaskazini na kanda ya pwani kwingine huko ngoja liende!
Mbalizi unaijua au unaisikia? NMbalizi ni zaidi ya ilemelaHatar ndo Nini we kima hatuwez lingana na ninyi mjini mbalizi,nzomve, itigi pote nyumba za tope haya nambie shinyanga mjini kama Kuna nyumba ya tope ewe kima mjane
Mwanza hakuna Beach Hotel kama hiiNa hii inaonesha makalio yenu?
View attachment 2547235
Maeneo hatarishi Kwa maisha ila watafanya nini ndio umaskini umetamalaki huko Lake zoneMmeshikilia kwenye report za miaka ya 2000, leta report mpya ya 2022 uone kanda ya ziwa ilivyowapelekea moto
Hebu leta jiji lako la Mbeya ulinganishe na hapa...Bukoba hii ambayo haina hata daladala ya town trip
Kwamba bukoba hakuna hospital ya maana? We jamaa vip...unataka wajenge ngap hapo mjini..Kihospital Cha hovyo kama shule..
Bukoba Sasa ndio hakuna hata hospital ya maana ya Mkoa kama wanabisha waambie waweke![]()
Leta majengo ya hospital tuone sitaki porojo na hadithi za idd AminiKwamba bukoba hakuna hospital ya maana? We jamaa vip...unataka wajenge ngap hapo mjini..
Katazame vita ya kagera ya mwaka 1978...Hospital ya Rufaa ya mkoa wa kagera ndo ilikuwa inatumika kutibu majeruhi...na kuna bomu lilidondoshwa pale..hadi leo kuna shimo...
Nyinyi 1978 mlikuwa hata na hospital basi huko kusin zaidi ya peramiho...
Ndo kamji kameisha hapo? 😁😁Hebu leta jiji lako la Mbeya ulinganishe na hapa...
Unafikiri daladala ndo mji kuendelea...nenda kisumu hapo...mji una bodaboda tu wala hauna daladala lakin maendeleo Arusha ikasome....
Mbeya yenyew Mbona kuna bajaji nyingi kuliko watu...
Bukoba municipality ....View attachment 2547278View attachment 2547279View attachment 2547280View attachment 2547281View attachment 2547282View attachment 2547283View attachment 2547284View attachment 2547285View attachment 2547286View attachment 2547287
Tupendane street Bukoba...Ndo kamji kameisha hapo?
Mbeya ni City hailinganishwi na Vijiji..
Size yenu ni SumbawangaView attachment 2547310View attachment 2547314View attachment 2547315View attachment 2547317View attachment 2547318View attachment 2547319View attachment 2547320View attachment 2547321View attachment 2547322View attachment 2547325
Kagoogle...Leta majengo ya hospital tuone sitaki porojo na hadithi za idd Amini
Iko wapi? Huto tu hospital unamlingishia nani?Kagoogle...
Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kagera imekuwepo toka uhuru...
Tena hapo hapo Bukoba kuna hospital Nyingine tatu...
1. Hospital ya Wilaya ya Bukoba
2. Hospital ya manispaa ya Bukoba
3. Cosad Hospital
4. Ndolage hospital
5. Bugabo hospital...wahaya madaktari wamejiorganize wamejenga hospital yao hapo bukoba
Mji mzima inazidiwa na mtaa mmja tuu wa Sumbawanga 😂😂
😁😁😁😆😆😆🤪🤪🤪🤪SHINYANGA hakuna nyumba za miti kenge amka
Kahama Bus Stand 🙆🙆😁😁
Akili huna....kati ya hizo 21 hospital 18 ni za binafsi...wahaya wanalaumiwaje...Iko wapi? Huto tu hospital unamlingishia nani?
Makelele yote ya Wahaya mnazidiwa hata na Ruvuma Ijue Mikoa 12 yenye Idadi kubwa ya vituo vya kutolea Huduma za AfyaView attachment 2547381