ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
- Thread starter
- #13,641
😁😁😁😁😝😝😝 Sensa imeumbua wazee wa misifa na wale walevi wa mbege 🤪🤪Akili huna....kati ya hizo 21 hospital 18 ni za binafsi...wahaya wanalaumiwaje...
Mnanishangaza kulaumu makabila kwenye suala la maendeleo ya umma...hiyo ni sign ya kujefeel inferior mbele ya kabila.
Kwan huko Ruvuma hospital zimejengwa na wangoni...
Halafu hospital zinajengwa kulingana na uhitaji