KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Ndo mliambiwa hivo ndo maana mnajengewa uduvi halafu mnashangilia hivi unaijua Barabara ya Toka geita kwenda bukoba na biharamulo au unapumua TU hovyo pimbi eweAcha kujifariji hii Barabara ya njombe ndo iliyo jengwa kwa kiwango tz nzima na Ina km za kutosha unaanza kutuletea za mitaan hapa