ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
- Thread starter
-
- #13,381
Njaa mbaya ,njaa ni fedhela ππKila siku mnaliwa na mamba et mnachot maji Si Bora mpigwe rad mfe tugeuze mashamba ukanda wenu hamna mnafany mnatia hasara taifa linaonekan kubwa kumbe kna watu hawana vyanzo vya mapato kujikwamua kimaendeleo pimbi nyie
Hapo nyingi zipo Arusha, arusha ndio mahali kwenye njaa pamoja na manyara.Njaa mbaya sana ππView attachment 2546095View attachment 2546096
Yamekuchanganya maneno HiYo ni branch ya iucChuo Cha amani njombe hicho mzeeMbona
Mbona unaonekana boys imeanza kuchukua ghorofa la watu let vyenu kenge unazan njombe soajui
Hili ni tawi la iringa university au sio
NdioHili ni tawi la iringa university au sio
Tunawafanya vibaya sana na hawaamini kwamba hiyo ndio Njombe..
Njombe kumepamba moto tafuta kama kahama kuna chuo cha maana zaid ya mabanda ya ng'ombe na ngurume yan manyumbu sijui walirogwa na nanNdio
Alikuwa ni kile Cha Iringa mjini wakati ni Amani University π₯π₯Yamekuchanganya maneno HiYo ni branch ya iucChuo Cha amani njombe hicho mzeeView attachment 2546203
ππππππ kama kawaida unatafuta pa kutokea π€£ππ€ͺHapo nyingi zipo Arusha, arusha ndio mahali kwenye njaa pamoja na manyara.
Kuhusu njaa waulize arusha na manyara au kwasabanau wapo karibu kenya, huku kanda ya ziwa tunakula na kusaza bwege wewe.ππππππ kama kawaida unatafuta pa kutokea π€£ππ€ͺ
Njaa ni fedhela , huwezi pata maendelea kama hujadhibiti njaa..
Malizaneni na njaa kwanza ndio mje kushindana na Njombe na Kusini Kwa Maendelea
Bunda Iko wap njaa inawamaliza mzeeKuhusu njaa waulize arusha na manyara au kwasabanau wapo karibu kenya, huku kanda ya ziwa tunakula na kusaza bwege wewe.
Sijawah kufka njombe ila ntapambana nije kushangaa maendeleoRufaa njombe wap mkoa wa shinyangaView attachment 2546360View attachment 2546359
π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ Hii ni Wilaya gani?Kuhusu njaa waulize arusha na manyara au kwasabanau wapo karibu kenya, huku kanda ya ziwa tunakula na kusaza bwege wewe.
Hii inazidiwa na hospitali teule ya mkoa wa shy kolandoto, hivi vitu shinyanga walivipata kipindi cha utawala wa nyerere, nyie pimbi mnaanza kuviona leo.Rufaa njombe wap mkoa wa shinyangaView attachment 2546360View attachment 2546359
Hii ni ludewa.π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺ Hii ni Wilaya gani?
Hii inazidiwa na hospitali teule ya mkoa wa shy kolandoto, hivi vitu shinyanga walivipata kipindi cha utawala wa nyerere, nyie pimbi mnaanza kuviona leo.