Kahama VS Njombe/Mafinga

Best kuliko kusini nzima na kati ya Tanzania....

Imagine Bukoba Airport inazidi Dodoma Airport kwa abiria
Wewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.

Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
 
Mtaweza kweli? Kajipangeni upya kwenye sekta ya mabasi VIP ndio mje kushindana na sie
 
Wewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.

Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
Bukoba hayo yalifanywa 2012 huko!! Waliona uhitaji mapema kwa mji wa bukoba...
Kwanza hio Airport itahamishwa tu

Anyway niko mbozi huku....bado sana huku kusini mabasi ya mikoani yanajaza abiria kama daladala hadi watu wanasimama...bado zile motel za mabus ni za ovyo kweli...
 
Ndio mkapata hicho kituko?
 
Wewe boya umeona building terminal ya New Songea airport? Na Iringa Airport inaendelea na Ujenzi.

Mbeya siwezi itaja sio size na Vimji vya wavuvi.
Hio songwe si ndo mnagombania huko iwe songwe au mbeya. International airport domestic routes ni moja no international flights ata za mizigo

Huko si ndo airport wamegeuza mashamba ya viazi
 
Hio songwe si ndo mnagombania huko iwe songwe au mbeya. International airport domestic routes ni moja no international flights ata za mizigo

Huko si ndo airport wamegeuza mashamba ya viazi
Acha uzushi ,tuna atcl na precesion air,
Uwanja uko Mbeya ila una jina la Mkoa wa Songwe ndio linapigiwa kelele libadilishwe.
 
Ukitoa KIA na JNIA ni airport gan tz ina Airport Terminal nzr kama hii ya bukoba...

Jifunze kuappreciate waliokuzidi
 
Attachments

  • images%20(6).jpg
    28.4 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…