Mjadala wa Barabara Lake zone watupishe Kwa Sasa hatuna mpinzani..
Ukiacha hiyo lot 4 iliyotiwa saini Leo km 32 Kuna Tactic km 23,Kuna Za vyanzo vingine(Tamisemi,own Source,Wizara ya ujenzi) km 8.5 zote ndani ya Jiji la Mbeya.

Tulia hivyo hivyo kuna km 54 dual carriage zinakuja soon.
Halafu sisi jiji letu sio level ya kuongelea barabara za TACTIC mtandaoni ambazo kila mwaka zinajengwa. Hizo huwa hatutumii nguvu zipo tu automatically, na mwaka huu zipo za kutosha tu