ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
- Thread starter
-
- #12,401
Mradi wa maji bil.118 ,meli bil 109Sunk huu mradi unalingana na mradi uliosainiwa Jana wa maji huko mbeya wa kuhudumia mbeya mjini,rungwe,mbalizi na mbeya vijijini
Ila mwamba unajua kujitoa ufahamu.Mradi wa maji bil.118 ,meli bil 109
Sio meli tu b109 + Chelezo b36Mradi wa maji bil.118 ,meli bil 109
Kwa habari ya maji walingishie DodomaNajua inakuuma sana ila ndio hivyo tutakuwa na dual carriage way Jijini Mbeya,Mwanza hakuna.
By the way sie tuko hiviView attachment 2514715
Kwa habari ya maji walingishie Dodoma
Kwa habari ya dual carriage tembelea Mwanza uone mahali zilipo.
Unatakiwa ufahamu kuna barabara tatu za kuingia mjini. Moja ina njia nne tayari, nyingine njia tatu na moja ndio njia mbili.
Hizi za njia tatu na mbili ni swala la muda tu kupanuliwa kuwa njia nne.
Kujitoa ufahamu kiaje Sasa,leta mradi wa Maji wa bil.118 huko Mwanza.Ila mwamba unajua kujitoa ufahamu.
Acha ulofa, kwani nini maana ya dual carriage. Ushamba wako ndio unakusumbuaMaweeee Mwanza Kuna dual carriage au ule ushenzi wa kwenda airport ndio dual carriage yenu? Unatia aibu
Maji gani mliyonayo nyie mnakunya kwenye milima?
Hayo mambo ya maji Mwanza yalishatatuliwa zamani sasa hivi ni kuongeza vyanzo tu. Sasa hivi mliokuwa mmesahauliwa ndiyo mnakumbukwa.Kujitoa ufahamu kiaje Sasa,leta mradi wa Maji wa bil.118 huko Mwanza.
Heee heee maumivu yakizidi muone daktari
Hayo mambo ya maji Mwanza yalishatatuliwa zamani sasa hivi ni kuongeza vyanzo tu. Sasa hivi mliokuwa mmesahauliwa ndiyo mnakumbukwa.
Ona umeanza kukimbilia mabasi tena, huko ulishindwa ukasema mjadala wa mabasi umefungwa sasa unaleta ya nini?aisee hiki kituko Cha fungua mwaka..
Leo napiga za uso tuu , twende kazi
Yatapata hasara, MabasiOna umeanza kukimbilia mabasi tena, huko ulishindwa ukasema mjadala wa mabasi umefungwa sasa unaleta ya nini?
Mkoa hauna hata basi la VVIP
Usinilishe maneno ya uzushi wako,nilisema kwamba walau Kwa Sasa Mwanza mumeanza kupata Mabasi ya VIP,mtaisogelea Mbeya maana njia ya Mbeya hainaga Mabasi chakavu kama huko kwenu..Ona umeanza kukimbilia mabasi tena, huko ulishindwa ukasema mjadala wa mabasi umefungwa sasa unaleta ya nini?
Mkoa hauna hata basi la VVIP
Mimi huwa sina ligi za mabasi ila ninachoshukuru ni kwamba umekuwa dalali mzuri, na unajua mabasi mengi ya Mwanza ambayo hata mimi sijui.Usinilishe maneno ya uzushi wako,nilisema kwamba walau Kwa Sasa Mwanza mumeanza kupata Mabasi ya VIP,mtaisogelea Mbeya maana njia ya Mbeya hainaga Mabasi chakavu kama huko kwenu..
Kampuni Mpya za Katarama na New Bestline line naona zimekutia wazimu,Huyo Katarama ndio kwanza anamuiga Sauli tuu hana jipya..
Aisee nimecheka sio mimi nimeandika ila ni watu wa Mwanza
View attachment 2515690
Mimi huwa sina ligi za mabasi ila ninachoshukuru ni kwamba umekuwa dalali mzuri, na unajua mabasi mengi ya Mwanza ambayo hata mimi sijui.
Unafanya kazi nzuri, ehe hebu niambie mbali na Katarama na Best line kuna basi gani lingine zuri?
Unafanya kazi nzuri sana, nitajie mengine matatu
Unafanya kazi nzuri sana, nitajie mengine matatu
Umeanza kutapatapaView attachment 2515814View attachment 2515815View attachment 2515817View attachment 2515816Kwani mabasi mazuri yameisha