Kahama VS Njombe/Mafinga

Huyu ni mteja wetu hapa milembe, ana majina matatu jf zikiamka Huwa anaona mabasi ni usafiri wa watu wenye pesa. Ndege na SGR ni usafiri wa masikini. Ni huyu huyu ukimbana sana anakimbilia picha za sumbawanga. Tulijua kapona tukamruhusu kumbe ngoma inogile
 
Unapoongea uwe valid data. Sio maneno maneno ... nyamagana pekee Ina watu laki 5 + .ukiplus na ilemela si ndio kabisa ... subiri data rasmi Toka nbs hizi porojo peleka huko
 
Mbona sioni izo Updates? kingine Mwanza CC wakitoa takwimu za Jiji hawawezi Unganishaa coz kila Halimashauri inajitegemea, nmeingia saa 7:40 leo na sjaona
 
Umeanza kupona kansa
 
Mradi wa Maji kunufaisha Rungwe,Mbeya na Mbalizi.

Bil.118 zamwagwa ,kama nawaona Kwa wivu watu wa Kanda ya Ziwa


 
Falla sunk
una majina kama mwanamke
. Hiii kichwa haijifichi 'VEYA'
Nyie na tumiji twenu twa kidwanzi kaeni kimya..

Soko la Machinga la Kisasa,

Sasa ni soko la kuuzia samaki,asanteni sana Tunduma


 
Sunk huu mradi unalingana na mradi uliosainiwa Jana wa maji huko mbeya wa kuhudumia mbeya mjini,rungwe,mbalizi na mbeya vijijini
 

Attachments

  • IMG-20230212-WA0026.jpg
    32.9 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…