The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Huko Kwenye Mabasi tulishavuka kitambo sana ,naona saizi ndio mnapata VIP mnapiga kelele sana ππ.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The Sunk Cost Fallacy 2 tunaomba picha za mabus.
BUGANDO MEDICAL CENTER wameshusha madude mengine bandarini [emoji116]Huko Kwenye Mabasi tulishavuka kitambo sana ,naona saizi ndio mnapata VIP mnapiga kelele sana [emoji16][emoji16].
Acheni ushamba View attachment 2507224View attachment 2507225View attachment 2507228
Acha ujinga wako wewe..Mbeya baada ya dual carriage kujengwa itakuwa hvi [emoji116]View attachment 2507287View attachment 2507288
VIP tena wew si battle ya VIP na VVIP umepigwa TKO [emoji23][emoji23][emoji23]Huko Kwenye Mabasi tulishavuka kitambo sana ,naona saizi ndio mnapata VIP mnapiga kelele sana [emoji16][emoji16].
Acheni ushamba View attachment 2507224View attachment 2507225View attachment 2507228
Unahamisha magoli eti? π€£π€£π€£π€£VIP tena wew si battle ya VIP na VVIP umepigwa TKO [emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa west Africa hii...hasa Nigeria au Ghana...ndo Wana miji ya namna hii...Mbeya baada ya dual carriage kujengwa itakuwa hvi [emoji116]View attachment 2507287View attachment 2507288
Mwanza na uswazi ni kopo na mfuniko ππItakuwa west Africa hii...hasa Nigeria au Ghana...ndo Wana miji ya namna hii...
Mbeya ishushwe hadhi...iwe mamlaka ya mji tu...haifai kuwa jiji
Ningekuwa rais ,,ningeshusha miji mingi hadhi ..Itakuwa west Africa hii...hasa Nigeria au Ghana...ndo Wana miji ya namna hii...
Mbeya ishushwe hadhi...iwe mamlaka ya mji tu...haifai kuwa jiji
Kwani hadhi ya jiji mmepewa juzi ..kama bajeti ya upimaji viwanja hutoka Kila mwaka ,,,mmefanya nini ,,,,,,mji wote ni slums ,kuanzia nsalaga Hadi uyole......Kwa mama john, majengo,iyunga , nzovwe, airport ya zaman ni uchafu mwanzo mwisho ......unakuja hapa unajilinganisha na mwanza,, mwanza ni mji mkubwa una Kila aina makazi slums na porshy planned neighborhood kama ilivyo dar tu . usifananishe.......Acha ujinga wako wewe..
Siku Jiji wakichukua eneo lile la mashamba ya Kilimo ya uyole na JKT pale na kupima Viwanja, Mbeya yote itakuwa Kali kama ulaya..
Maana uzuri ni kwamba uswazi utakuwa katika ya Mji yaani Kuanzia Nanenane Hadi Mafiat,hii ni sehemu ya biashara so hutoona labda upae na ndege..
Swala sio Bajeti swala ni Ardhi,Mji umejaa eneo lililopo Kwa hapo Mjini ni Hilo na kule Mbalizi Hadi SongweKwani hadhi ya jiji mmepewa juzi ..kama bajeti ya upimaji viwanja hutoka Kila mwaka ,,,mmefanya nini ,,,,,,mji wote ni slums ,kuanzia nsalaga Hadi uyole......Kwa mama john, majengo,iyunga , nzovwe, airport ya zaman ni uchafu mwanzo mwisho ......unakuja hapa unajilinganisha na mwanza,, mwanza ni mji mkubwa una Kila aina makazi slums na porshy planned neighborhood kama ilivyo dar tu . usifananishe.......
Haka kajengo Kila siku unabadili angle ya picha ππKahama manispaa [emoji116][emoji116]View attachment 2507559View attachment 2507560
Ujenzi wa Majengo shinyanga unaendelea Kwa kasi[emoji116]View attachment 2507556View attachment 2507557View attachment 2507558
Walau Shy inaonesha uhai wa kuwa Manispaa sio kama Kahama kule kumejaa magulio tuu π€£π€£.Shy town is on fire [emoji91][emoji91][emoji91]...mliozoea kuiunderrate mwaka huu mtafichwa wapi sura zenu [emoji116]
Hotel under construction View attachment 2507554
Upo Sahihi ishu kubwa kwa mbeya ni ardhi kwa Sasa eneo kubwa limesha kuwa coverd kulingana na position ya mji ulipo na maeneo yenye uangalau ni mbalizi hadi songwe ko ndo maana hata project kubwa zinazo hitaji ardhi kubwa wameanza kupeleka mkoa jirani na hii ni advantage kwa mkoa wa njombe maana una ardhi ya kutosha na wamejipanga kwelikweli kuanzia miundombinu na ishu kubwa iliyokuwa inawasumbua njombe ni maji saizi wamesha pata mradi mkubwa ambao utahudumia miji mitatu njombe tc ,makambako tc na wangingombe maji wametoa mto ngiwi tayar Kasi ya wawekezaji inaenda kuongezeka tena ujenz unaendeleaSwala sio Bajeti swala ni Ardhi,Mji umejaa eneo lililopo Kwa hapo Mjini ni Hilo na kule Mbalizi Hadi Songwe