Wew unayejua maana ya VIP ...hiyo achimwene yako inaizidi nini kisesa .... underrate yako Kwa mwanza ndio imekuponza watu wa mwanza hawapendi sifa ndio maana huwezi ona vitu vyao .ila mambo Yao sio haba . .Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika?
Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
VVIP mbeya ipo wapi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]Wacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika? VIP ni Ally's tuu hizo zingine ni Luxury standards.
Unajua bei ya VIP wewe?
Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa
Unaweza angalia Nje ukajua ndio VIP si ndio? 😁😁.VIP ni ndani na Huduma zao na ndio maana wanasajili hivyo bei zao ni kubwa.Wew unayejua maana ya VIP ...hiyo achimwene yako inaizidi nini kisesa .... underrate yako Kwa mwanza ndio imekuponza watu wa mwanza hawapendi sifa ndio maana huwezi ona vitu vyao .ila mambo Yao sio haba . .
Kisesa express [emoji116]View attachment 2506999View attachment 2507000
HaipoVVIP mbeya ipo wapi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji12][emoji12]
[emoji116][emoji116][emoji28][emoji28]View attachment 2507002
Mbona ulikwepa swali langu VVIP ya mbeya Iko wapi .Unaweza angalia Nje ukajua ndio VIP si ndio? [emoji16][emoji16].VIP ni ndani na Huduma zao na ndio maana wanasajili hivyo bei zao ni kubwa.
Mfano bei ya Semi na Luxury ya Dar to Mbeya ni maximum ya 40,000 ila hizo VIP zinaanzia 46,000 Hadi 50,000.
Na ndio maana hao Ally's Wana bei kubwa,Sasa wewe unaleta porojo zingine hizo unajua ndio VIP?
Haipo,kwanza ni utaahira kupanda VVIP Bus wakati ndege zipo na treni za Kitalii kwetu zinakuja kamaile Levolos ya South AfricaMbona ulikwepa swali langu VVIP ya mbeya Iko wapi .
By the way ordinary dar mwanza ni 50000 ,semi luxury ni 60000 ,VIP ni 85000 ,VVIP ni 1200000 ...
Alys ni VVIP . mbeya VVIP ipo wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa nani Bora ,,kama hata VVIP hamna ...we si ulisema alys hatoboi mwezi Kwa VVIP ,Leo mwezi wa tatu bado yupo sokoni ...na anatesa [emoji28][emoji28][emoji28]...Haipo
Alisema nani? Subiria Sgr ije tuone kama atatoboa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sasa nani Bora ,,kama hata VVIP hamna ...we si ulisema alys hatoboi mwezi Kwa VVIP ,Leo mwezi wa tatu bado yupo sokoni ...na anatesa [emoji28][emoji28][emoji28]...
Mngekuwa mnapanda ndege mngekuwa na figure nzuri ya usafiri wa anga ..badala yake hata Airbus imesitisha safari zake mbeya[emoji28]Haipo,kwanza ni utaahira kupanda VVIP Bus wakati ndege zipo na treni za Kitalii kwetu zinakuja kamaile Levolos ya South Africa
Unatafuta excuse.lazima ukubali mwanza ni diversified economic city ,,,,Kila sekta tunafanya vizuri kwenye ndege,mabus ,maji na treni pia ...the multitransit cityAlisema nani? Subiria Sgr ije tuone kama atatoboa
Mafinga nao ni mji sasa mbona kama nyie watu ni mazwazawa.Mafinga gorofa zao nyingi ni fupi zipo kama hivo ndefu iliyo kamilika ni cf plaza na mbili za gorofa tatu zinaendelea kujengwa ko gorofa ndefu mafinga zipo tatu tu zingine ni gorofa mbili tu njombe ndefu ndo zipo
View attachment 2506761View attachment 2506762View attachment 2506764
Hakuna mji hapo msiforce bhanaNjombe gorofa zipo za kutosha ila mafinga bado labda vituo vya mafuta ndo vina vigorofa kama vitano ila uwingi wa visima makambako ndo inavyo vingi zaidi
Wa-russia na wazungu?, Halafu unajiita msomi, mjanja kumbe KAMWENETunaomba Mgogoro wa Russia na Wazungu uendelee Kwa miaka 3 zaidi tutakuwa tumevuna pesa ndefu sana.
Wamegeuza mashamba viwanja vyao, huo mpunga wanao sasa au kelele tu.Mngekuwa mnapanda ndege mngekuwa na figure nzuri ya usafiri wa anga ..badala yake hata Airbus imesitisha safari zake mbeya[emoji28]
Sas mbona huko kwenu viwanja vinageuzwa shamba. VVIP hamna ndege minyato Kwan nyie ni ng'ombe [emoji3]Haipo,kwanza ni utaahira kupanda VVIP Bus wakati ndege zipo na treni za Kitalii kwetu zinakuja kamaile Levolos ya South Africa
Hawana hoja, ukiwabana eneo fulani wanakimbilia eneo jingine ambalo nalo hawafanyi vizuri. Ukiwabana wanakimbilia kutafuta picha za sumbawanga😀😀😀😀. Kifupi hawaeleweki kama maumbile ya wanawake , wakisimama yanakuwa mbele, wakiinama yanarudi nyuma, na wakichuchumaa yanakuwa kati kati.Sas mbona huko kwenu viwanja vinageuzwa shamba. VVIP hamna ndege minyato Kwan nyie ni ng'ombe [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The Sunk Cost Fallacy 2 tunaomba picha za mabus.Hawana hoja, ukiwabana eneo fulani wanakimbilia eneo jingine ambalo nalo hawafanyi vizuri. Ukiwabana wanakimbilia kutafuta picha za sumbawanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kifupi hawaeleweki kama maumbile ya wanawake , wakisimama yanakuwa mbele, wakiinama yanarudi nyuma, na wakichuchumaa yanakuwa kati kati.
Ayatolee wapi ...kama hata VVIP hawana ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] The Sunk Cost Fallacy 2 tunaomba picha za mabus.
Arusha to Mwanza VIP Mpya mjinkWacha kuleta porojo,unajua hata maana ya VIP wewe Hadi ulete hayo mabati chakavu ya Kisesa na sijui Libanika? VIP ni Ally's tuu hizo zingine ni Luxury standards.
Unajua bei ya VIP wewe?
Ona wenzako wanaoujua ukweli wanavyoongea hapa