Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Njiapanda ya SADC
IMG_20230201_091727_422.jpg
Fn0EumyXwAIY0d6.jpeg
IMG_2186.jpg
 

Uwanja wa ndege wageuzwa shamba la mboga ...nyanda za juu mna safari nedfu sana kuyafikia maendeleo [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye sumbawanga yake Mr Sunk atakuja na mbwembwe, alafu eti anaifananisha sumbawanga na Kanda ya ziwa
 
The Great Haya Mikdde mmeniwai



The Sunk Cost Fallacy 2 njoo ujib tuhuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana...et Sumbawanga ndo ya kulinganisha na miji ya kanda ya ziwa....





Yuko anatupostia barabara tu...picha kumi kumi[emoji23]
Yaan sumbawanga hakuna kitu kule zaidi ya zile barabara za mtaa za mradi ule wa world bank....

Screenshot_20230202-174754.jpg
Screenshot_20230202-174817.jpg
Screenshot_20230202-174751.jpg
 
Haters be like :madini ni ya wazungu..
Reality is : madini yanawanufaisha wananchi...hatusubiri fedha za uviko 19 Wala za tozo ..
[emoji116]
Screenshot_20230202-223203.jpg
1675366311157.jpg
 
Kiboko ya Bukoba ni Sumbawanga,moto upi hamna hata Barabara za mitaa nyie?
Sumbawanga hiihiii ambayo Airport yake imegeuka Shamba!??


Huu mjadala naomba ubaki dhidi ya Kahama na Huko sijui Njombe ila Mbeya, Iringa, Sumbawanga na kimbilio lako kuu Dodoma zote hizo Hazifiki MWANZA ukiendelea kubisha kuna siku utajinye.a au kichwani ni Vacuum!!

Case closed!!
 
Hii Wilaya ya Chunya Toka imevamiwa na watu wa Kanda ya Ziwa imeanza kututia aibu Mbeya..

Hao Huwa ni wavivu na Wana uchuro wa njaa,
 
Back
Top Bottom