Bro bukoba level za juu sana wasemehe Hawa watu. Tukiwapelekea moto wa picha watalikimbia jukwaa, twende nao taratibuNew Jaffery school buildings Bukoba....remind you hii ni primary
Mbeya ingekuwa chuo kikuuView attachment 2500940View attachment 2500941View attachment 2500942View attachment 2500943

Kiboko ya Bukoba ni Sumbawanga,moto upi hamna hata Barabara za mitaa nyie?Bro bukoba level za juu sana wasemehe Hawa watu. Tukiwapelekea moto wa picha watalikimbia jukwaa, twende nao taratibu
Kuwa serious basi, barabara za mitaa sio topic tena bukobaKiboko ya Bukoba ni Sumbawanga,moto upi hamna hata Barabara za mitaa nyie?
Ziko wapi kama sio topicKuwa serious basi, barabara za mitaa sio topic tena bukoba
Acha hizo basi....huwezi linganisha Bukoba na sumbawanga kwenye chochote kile...Kiboko ya Bukoba ni Sumbawanga,moto upi hamna hata Barabara za mitaa nyie?
Leta nyingine tuoneAcha hizo basi....huwezi linganisha Bukoba na sumbawanga kwenye chochote kile...
Nadhani katika sekta ambayo manispaa ya Bukoba imejitahidi ni barabara za mitaa...Bukoba ni mji wenye milima yenye miteremko mikali...lakin miteremko karibia yote ina lami tena zile nzr...
Huku ni kata ya Nshambya milimani huko Bukoba
View attachment 2502501
We jamaa barabara zipo bukoba usijisumbue katika hiloLeta nyingine tuone
🤣🤣🤣🤣 Kila siku kabarqbara hako hako? Unatia kichefu chefuWe jamaa barabara zipo bukoba usijisumbue katika hilo View attachment 2502529
Asee kama zizi la ng'ombe. Mji haufai hata kuzoom picha😀😀😀😀
Mji haueditikAsee kama zizi la ng'ombe. Mji haufai hata kuzoom picha![]()



Mkuu huna haja ya kunisimulia mbeya naijua haswa, huwa nakosa hata cha kuandika nikiona jamaa anafanisha mbeya na mwanza, mbeya haimo hata nusu ya mwanza
Huo ni mji mdogo wa mbalizi
Huijui Mbeya wewe..Mkuu huna haja ya kunisimulia mbeya naijua haswa, huwa nakosa hata cha kuandika nikiona jamaa anafanisha mbeya na mwanza, mbeya haimo hata nusu ya mwanza