The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Ninazo ndio maana unanichukia na uko busy ku confront na mieMbona wew akili huna au uli mbwa
Ninazo ndio maana unanichukia na uko busy ku confront na mieMbona wew akili huna au uli mbwa
Eti nakuchukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kale mbwa ban akili ziongezekeNinazo ndio maana unanichukia na uko busy ku confront na mie
Hii picha ingekuwa ni ya mza jamaa angesema uswaziNa hapo ni mjini, imagine. Hata Igogo mlimani huwezi pata tofali choma. 😛 😛 😛 😛 😛
View attachment 2498895
Kwani Kuna siku nilikwambia Mbeya hakuna uswazi . Hospital ya Meta Iko uswazi mbonaHii picha ingekuwa ni ya mza jamaa angesema uswazi
Sas tunafungua visiwa .[emoji91][emoji91]Kwani Kuna siku nilikwambia Mbeya hakuna uswazi . Hospital ya Meta Iko uswazi mbona
Kwamba mwanza hamna NIMR ,,[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]Mwanza mkiniletea Kituo kikoja tuu Cha Wanasayansi nafunga account.
NIMR Mbeya
Unamvuruga Sunk, maziwa yote Southern Highland boat kubwa hazizidi 8Sas tunafungua visiwa .[emoji91][emoji91]View attachment 2499194
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuwa tuu na Ziwa tayari ni kama uko locked au jela ,so mameli sijui nini ni kupunguza shida tuu ila mateso Yako pale pale.Sas tunafungua visiwa .[emoji91][emoji91]View attachment 2499194
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwamba mwanza hamna NIMR ,,[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]
Si unakuja mwanza tembelea isamilo utapata kituo chao...
Pia Kuna maabara na hospital maalumu ya utafiti ..fika kitangiri kama unaelekea bwiru ..
Ukiacha NIMR Kuna TAFIRI (wanasayansi na watafiti wa aqua culture)
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana ..![]()
![]()
NIMR Isamilo
Ndo umeona ulete huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makambako TC kkkt church
View attachment 2499375