The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Kwa hiyo Hilo daraja na limeli ndio Barabara za mitaa ya Miji yenu? 😂😂😂Uchafu kama huu upo mwing sana lake zone upo toka mbeya inaitwa southern highlands haina ata 100miters za lami.
Kitu unapaswa kufaham ni uhitaji wa barabara mwanza ni mkubwa kuliko huko mapolin kwenu ni vile serikali inabusara inajitahid kubalance,ingekuwa si sawa kujenga mabarabara ya njia nne mpka sita at the same time mnajenga JP bridge, SGR,Meli,Airport and mengine mengi alaf huko polin wakawasubirisha.
Ni furaha yetu wanalake zone kuona baadhi ya vitu tuviache ili nanyie mpate.
TAARIFA: Garama za JP bridge zinatosha kuifanya southern highlands kusiwepo na barabara ya vumbi yeyote ile, inatosha kuifanya mbeya kama jiji la mchongo kuwa la kisasa, inatosha kuwajengea hospital za kisasa kila kata zenye uwezo wa kufanya uchunguz wa matatzo ya akili na chenji ikabaki.
Siku uko polini mkianza projects za mahela mengi kama hizi ndo mje kubwabwaja.
Saiv tupo busy na [emoji116]View attachment 2493741View attachment 2493747View attachment 2493748
Mambo ya Jiwe hayo ndio aliwafikisha huko..Hahaha yaYan hii ni aibu tunavo sema hii ni manispaa ya mchongo tu yani miji saiz ni mwendo wa kupiga lami nyie mnaonesha changalawe km 1 Karne hii aibu Sana
Hiyo ni miundombinu itakayoipaisha zaidi kanda ya ziwa hizo barabara zitakuja tu ngoja tutengeneze future nzuri ya kanda ya ziwa.Kwa hiyo Hilo daraja na limeli ndio Barabara za mitaa ya Miji yenu? 😂😂😂
Nilitaka kuuliza nikaona nikae kimyaUnajua masoko wewe?, Mnajiandikia tu.
Baadhi ya mitaa KusomaMambo ya Jiwe hayo ndio aliwafikisha huko..
Ukiwaambia watu wa Lake zone walete Barabara za mitaani kwao ni sawa na kuwapa ban humu jukwaani 😁😁
Huu ni Mji au Mwalo wa samaki?Baadhi ya mitaa Kusoma
Ulikuwa unaulizia barabara, sasa unaanza kuulizia mwalo wa samaki?Huu ni Mji au Mwalo wa samaki?
Ilo limeli ndo barabara zen zote huko southern highlands [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Hilo daraja na limeli ndio Barabara za mitaa ya Miji yenu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo umeleta vichochoro vya Mwalo wa Musoma,havina hata njia za watembea Kwa miguu..Ulikuwa unaulizia barabara, sasa unaanza kuulizia mwalo wa samaki?
Ukitoka hapo utarudi kwenye mabasi
Mda si mref ataanza kuleta picha za mabus [emoji23][emoji23]Ulikuwa unaulizia barabara, sasa unaanza kuulizia mwalo wa samaki?
Ukitoka hapo utarudi kwenye mabasi
Nionesh vitu kama hiv huko uswekeni View attachment 2493801Hapo umeleta vichochoro vya Mwalo wa Musoma,havina hata njia za watembea Kwa miguu..
Nataka Barabara Kali kama hizi [emoji116]
View attachment 2493797View attachment 2493799View attachment 2493800
Nyie mnaishi kwenye limeli? Humo ndio Kuna street roads? Poor youIlo limeli ndo barabara zen zote huko southern highlands [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan nyie manaishi barabara kwan nyie ni machokoraa [emoji23][emoji23][emoji23].Nyie mnaishi kwenye limeli? Humo ndio Kuna street roads? Poor you
Sasa tunaishi wapi? Huoni nyumba pembezoni mwa Barabara? Hizo ni Barabara zinatufuata mitaani kwetu..Kwan nyie manaishi barabara kwan nyie ni machokoraa [emoji23][emoji23][emoji23].
Kama mbeya The Sunk Cost Fallacy 2Simiyu
Bora Simiyu Ina hata Stand licha ya kuwa ni Kijiji kinachoendelea .Simiyu
Chuki yako dhidi ya kahama [emoji28][emoji28][emoji28].na geita haitakufikisha popote ..unajua kabisa kahama ni threat Kwa mbeya ndo maana unaitajataja[emoji28][emoji28]Bora Simiyu Ina hata Stand licha ya kuwa ni Kijiji kinachoendelea .
Vipi Geita na Manispaa ya Mchongo ya Kahama?
Sasa tunaishi wapi? Huoni nyumba pembezoni mwa Barabara? Hizo ni Barabara zinatufuata mitaani kwetu..
Limeli hakiwezi wasaidia kitu ndio maana hamuishi kuwa na njaa Karne hii.