Kahama VS Njombe/Mafinga

Tumuongezee na hii [emoji116][emoji116]View attachment 2492798
Kanda ya ziwa ilizalisha tani milion 5 wakati nyanda za juu ilizalisha tani milion 4 [emoji16][emoji16]
Jamaa haijui Tanzania. Anabuni tu huenda huyu jamaa siyo Mtanzania. Anaweza kuwa ni mkenya anajifanya kuwa ni Mtanzania. Hakuna watanzania wenye tabia kama zake.
 
Hii ndio walau inaleta picha halisi,we are leading in surplus production, wengine Wana njaa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unajua maana ya surplus...[emoji16][emoji16][emoji16]...
Quantity produced /consumption frequency=surplus or deficit.
Kiwango Cha uzalishaji/namba ya watumiaji =Ziada au pungufu ..
Hii [emoji867]concept imejielezea ,haihitaji ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…