Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaani kwa akili yako unataka ulinganishe Mwanza na Ruvuma. Hivi upo sawa kweli kichwani?

Haya hebu tuambie vyanzo vya mapato vya Ruvuma
Life standard ya Ruvuma is way better than Mwanza ya mabanda ya Nguruwe..

Kuonyesha financial districts does not depicts actual living ya watu,indicator za maisha halisi utaona kwenye aina ya makazi.

Mbumbumbu wa uchumi hujui kitu au kawabishie NBS basi πŸ‘‡
 
Na bdo sijaweka kirumba, ghana, buzuruga na Nyegezi kwanza pambana na igogo uswahili kwa idadi ya ghorofa.
 
Acha kuruka ruka nataka tushindanishe igogo uswahili na cbd ya mbeya wapi kuna maghorofa mengi😝😝😝😝
Sasa uchumi sio magorofa tuu,nawesa kuwa naishi Sumbawanga na nini gorofa Mwanza,Hilo halikusaidii kuondokana na mabanda ya Nguruwe
 
Life wapi wewe. Hebu tuonrshe nyumba za wakazi wa Ruvuma.
Coal haiwezi kumfaidisha mtu mmoja mmoja hata siku moja. Usitudanganye. Hebu onesha nyumba za wakazi wa Ruvuma kisha tukuoneshe Nyumba za wakazi wa Kanda ya Ziwa.
 
Unaokotoze taarifa uchwara sana wewe. Kwanini usiziongenze. Wewe ni punguani huwezi ukalinganisha Mwanza na vitu vya ovyo.
Naokoteza 🀣🀣🀣🀣 ,hizo ni taarifa rasmi kutoka NBS.

Kwa taarifa Yako Kwa mujibu wa WB, Tanzania Ina watu 44 mln maskini na Kati ya hao 90% wanatoka Kanda ya Ziwa 😁😁
 
Sasa uchumi sio magorofa tuu,nawesa kuwa naishi Sumbawanga na nini gorofa Mwanza,Hilo halikusaidii kuondokana na mabanda ya Nguruwe
Hivi unaujua uchumi wa Coal wewe? Uchumi ni miundombinu kijana. Pamoja na nyumba nzuri na kula chakula vizuri.
Huko Songea samaki mbasa hapatikani.
Tofauti na coal chanzo cha mapato Ruvuma ni nini?
 
Life wapi wewe. Hebu tuonrshe nyumba za wakazi wa Ruvuma.
Coal haiwezi kumfaidisha mtu mmoja mmoja hata siku moja. Usitudanganye. Hebu onesha nyumba za wakazi wa Ruvuma kisha tukuoneshe Nyumba za wakazi wa Kanda ya Ziwa.
Na hayo mabanda yapo mitaa mingapi kama sio mabatini na igogo na Mwanza kuna kata ngapi na kuna mitaa mingapi? Ubaya wa sehemu moja usifute mazuri ya sehemu mia moja za Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…