shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,151
Kwaio mwanang umejiaminia kabisa ukaona ulete izo picha
Sasa mbona Lindi sio Jiji? π€£π€£π€£π€£Kwaio mwanang umejiaminia kabisa ukaona ulete izo picha.
Kumbe mbeya pahovyo hivokama lindi tu.
Mim nngekua mtu wa mbeya ningekutafuta nkakuchapa viboko. Jaribu kuedit ujue mbeya baada ya mwanza ndo inafatia kwa GDP
Acha dharau wewe, yaani Lindi mji umechoka vile halafu unafananisha na MbeyaKwaio mwanang umejiaminia kabisa ukaona ulete izo picha.
Kumbe mbeya pahovyo hivokama lindi tu.
Mim nngekua mtu wa mbeya ningekutafuta nkakuchapa viboko. Jaribu kuedit ujue mbeya baada ya mwanza ndo inafatia kwa GDP
Wala usijichoshe,nimemwambia Kwa nini Sasa Lindi sio Jiji?Acha dharau wewe, yaani Lindi mji umechoka vile halafu unafananisha na Mbeya
Wewe ndio uchapwe viboko
Chato ni mbali na City kubwa ,Mimi nataka uniletee jengo lenye iconic architecture kama hili la Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya hapo Mwanza Jiji πMbeya ishindane na chato kwa uzuri wa mji
Ngoja nikuletee chato, mwanza utapasuka ubongoChato ni mbali na City kubwa ,Mimi nataka uniletee jengo lenye iconic architecture kama hili la Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya hapo Mwanza Jiji πView attachment 2489863
Nakushauri tafuta kitu kingine kwasababu majengo ya mahakama za Kanda na mikoa ramani yake ni Moja. Uelewa pia utakuondolea ushamba kichwani.Chato ni mbali na City kubwa ,Mimi nataka uniletee jengo lenye iconic architecture kama hili la Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya hapo Mwanza Jiji πView attachment 2489863
Acha kubwabwaja bwabwaja leta picha ya jengo kama lileNakushauri tafuta kitu kingine kwasababu majengo ya mahakama za Kanda na mikoa ramani yake ni Moja. Uelewa pia utakuondolea ushamba kichwani.
Wewe ni falaAcha kubwabwaja bwabwaja leta picha ya jengo kama lile
We zwazwa jifunze kuelewa unapokosolewa. Mahakama za mikoa majengo yake yanafananaAcha kubwabwaja bwabwaja leta picha ya jengo kama lile
Mbona una makasiriko na hasira nyingi hujala? ππππWe zwazwa jifunze kuelewa unapokosolewa. Mahakama za mikoa majengo yake yanafanana
Hapa Kuna nini Sasa Cha ajabu? Hayo majengo ya Vituo vya Kutolea Haki Jumuishi yanajengwa Mikoa yote.View attachment 2490027View attachment 2490025
Na Bado moto unawashwa halafu uache ujinga kutuletea ujinga wako vs rock city
Sa mbona unatuletea jengo la mahakama unaforce tukujibu kwa picha wakati unajua yapo kila mkoa. Nilikuambia we fala unakasirika nikikujibu akili inakaa sawa, punguza wenge wakati mwingineHapa Kuna nini Sasa Cha ajabu? Hayo majengo ya Vituo vya Kutolea Haki Jumuishi yanajengwa Mikoa yote.
Majengo ya vile Yako Mikoa michache sana.Sa mbona unatuletea jengo la mahakama unaforce tukujibu kwa picha wakati unajua yapo kila mkoa. Nilikuambia we fala unakasirika nikikujibu akili inakaa sawa, punguza wenge wakati mwingine
Nataka ujifunze namna ya kumshinda adui. We unatamba kuwa una harrier Lexus wakati unayemtambia anayo hiyo hiyo utakuwa una akili kweli. Bishana kwa vitu unique tukuone wa tofautiMbona una makasiriko na hasira nyingi hujala? ππππ