Kahama VS Njombe/Mafinga

Sunk una kazi Gani ya maana wakati unashinda jamii forum na Twitter. Mzee baba alikula medulla oblongata kwenye sakata la vyeti feki umebaki kuchukia Kanda ya ziwa.
Sasa kama nashinda jf na Twitter napata wapi pesa ya kuendeshea maisha?

Mbona na wewe unashinda jf Kwa hiyo uliliwa kichwa na huyo Mzee wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…