The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Agricultural town inajulikana, serikali haiwezi invest kwenye irrigation scheme kwa mji kama Kahama. Huku tunaangalia logistic, financial hub na kuweka miundo mbinu ya kubeba hizo shughuli.Tunazungumzia vitu tangible sio porojoπ
Mbeya mjini mpaka leo mnalilia maji??ππππMradi wa Maji wa mto Kiwira bil.250 kusainiwa kabla ya January hii kutishaπ
Hii ni moja ya Barabara muhimu Sana itawarahisishia watu wa msumbiji walikuwa wanazungukia malawi na kupitia border ya tunduma saiz watapita short cut wataingilia makambako , songea ,msumbiji km zitapungua SanaJamaa wa kule watanunaπ
Haya mabarabara tulishajenga kipindi cha mkapa, kwasasa ni wakati wenu mliokuwa mmetengwa.Wacha Sumbawanga iendelee kuwapelekea moto tuu Hadi Mkimbie jukwaa..
Siku mkijenga Barabara ndio mje kushindana na Sumbawanga View attachment 2485590View attachment 2485591View attachment 2485592View attachment 2485593View attachment 2485594View attachment 2485595π
π€£π€£π€£π€£π€£ Yako wapi?Haya mabarabara tulishajenga kipindi cha mkapa, kwasasa ni wakati wenu mliokuwa mmetengwa.
Sisi sio kama wewe wa kurudia rudia mapicha.π€£π€£π€£π€£π€£ Yako wapi?
We nawe unatuletea magazeti sasa. Hushindwi kutuletea udaku. Sijui unakijua kweli unachokipambania?
Huna exposure wewe, wenzio huko tushatoka miaka mingi. Kadiria kiwango Chako cha uazimu mkuu utakuwa chizi usipokuwa makini. Nakutahadharisha tuπππWacha Sumbawanga iendelee kuwapelekea moto tuu Hadi Mkimbie jukwaa.π₯π₯π₯
Siku mkijenga Barabara Kali kama hizi ndio mje kushindana na Sumbawangaπ View attachment 2485590View attachment 2485591View attachment 2485592View attachment 2485593View attachment 2485594View attachment 2485595
Hunaga hoja zaidi ya matusi.Nasisitiza Kanda ya Ziwa yote hakuna Barabara Kali kama za swax.Huna exposure wewe, wenzio huko tushatoka miaka mingi. Kadiria kiwango Chako cha uazimu mkuu utakuwa chizi usipokuwa makini. Nakutahadharisha tuπππ
Majengo mawili katika picha kumi tofauti.Hunaga hoja zaidi ya matusi.Nasisitiza Kanda ya Ziwa yote hakuna Barabara Kali kama za swax.
Endeleeni kuumia ,Swax kunazidi kuchaπView attachment 2485667View attachment 2485668View attachment 2485669View attachment 2485671View attachment 2485672View attachment 2485673View attachment 2485674View attachment 2485675
Nimecheka eti logistics and such upuuzi π€£π€£.Agricultural town inajulikana, serikali haiwezi invest kwenye irrigation scheme kwa mji kama Kahama. Huku tunaangalia logistic, financial hub na kuweka miundo mbinu ya kubeba hizo shughuli.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya filauni mapank.Mbeya mjini mpaka leo mnalilia maji??ππππ
Kila siku Huwa unaongea hivyo hivyo kujifariji ππ.Majengo mawili katika picha kumi tofauti.
Kwa miji yenu ata mkipata tuvimiradi twa nyumba kama hizi lazima uringe, lakini huku tuipost nyumba kama zako unazopost itakuwa ni kujishushia heshima.Kila siku Huwa unaongea hivyo hivyo kujifariji ππ.
Nyundo tuu πView attachment 2485782View attachment 2485783View attachment 2485785View attachment 2485788View attachment 2485789View attachment 2485790View attachment 2485791View attachment 2485793View attachment 2485794View attachment 2485795