Kahama VS Njombe/Mafinga

mnyooshe huyu
Jamaa eti anakaza misuli na visehem vyake ajui mwanza inapokea pesa ndef kweny mirad yake kuzid jumla ya pesa zote zinazopelekwa nyanda za juu kusini

Pesa ilioko pale busis bridge ikipelekwa mbeya wanaweza jenga modern city Yao wanyakyusa wakaacha kukimbilia dar


Eti wanasema parachichi ni dhahabu ya kijani, hiv waijua bei ya dhahabu kweli per kg
 
 
Kahama ni hovyo sana yaani ndio mnaweka taa mwaka huu 2023? Hadi Makambako imewashinda?

Mwisho Taa za barabarani sio z kulingia miaka ya Leo ziko Kila Mji Kwa Sasa.
Aliyekuambia taa ndo zinawekwa Leo nani ...taa zilikuwepo za umeme ambazo operation yake ilikuwa expensive...
By the way hizo taa za makambako zikifika wingi wa km 5 niite fisi ...
Hizo taa ni tanroads na hamna mtu anaringia ila tunakuonyesha tu kuwa kahama sio level Zenu miji uchwara
 
MAkambako hizo taa za tanroad zipo zaidi ya km 5 mzee hapa ni njia panda Barabara zote wamefunga taa mbeya road km 2 ,iringa road km 3 songea road km 3 jumlisha hapo zinakuwa ngapi
 
 
Safi sana kamanda, ulikuwa wapi mkulungwa?😂😂😂😂 endelea kumgongelea misumali huyo zwazwa kutoka njombe.
 
Kahama ni hovyo sana yaani ndio mnaweka taa mwaka huu 2023? Hadi Makambako imewashinda?

Mwisho Taa za barabarani sio z kulingia miaka ya Leo ziko Kila Mji Kwa Sasa.
Makambako baadhi hizo
Makambako saiz ipo full mzee
 
Safi sana kamanda, ulikuwa wapi mkulungwa?
endelea kumgongelea misumali huyo zwazwa kutoka njombe.
@The Sunk Cost Fallacy 2 ni mwehu ni ana chuki na kanda ya ziwa. Kuna uzi wa Chato kutokua mkoa jamaa anashangilia hoja hana, anatamn kila kitu lake zone kiende ndivyo sivyo.


The Sunk Cost Fallacy 2 sisi wanamwanza hatuna shida na maendeleo yenu ni haki yenu.Ila mkileta wehu wenu wa kushindwa kujua mwanza na lake zone ndo Tanzania hatutosita kuwafunza adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…