The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,061 Igawa
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,062 Njombe 👇
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,063 Watu wa mbeya ... kumbe mbeya pazuri hivi na mlikuwa kimya...sijapenta hii tobia
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,064 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Hizi ndio Habari Haters wa Mbeya wakizisikia wanataka kuharisha . Kunywa maji baridi kabla ya kusikiliza hii clip Click to expand... Mbeya inajulikana nchi nzima na Duniani kote .kuwa ni zizi linaloitwa jiji Sio Mimi ila ni wadau mbalimbali wanoijua mbeya vizuri
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Hizi ndio Habari Haters wa Mbeya wakizisikia wanataka kuharisha . Kunywa maji baridi kabla ya kusikiliza hii clip Click to expand... Mbeya inajulikana nchi nzima na Duniani kote .kuwa ni zizi linaloitwa jiji Sio Mimi ila ni wadau mbalimbali wanoijua mbeya vizuri
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,065 Sio mim ..
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,066 Tofauti ya kahama na mbeya ..ni viazi mviringo tu nunueni magari kwanza
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,068 Jiji la mwisho Kwa usafi
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,069 Mikdde said: Mbeya inajulikana nchi nzima na Duniani kote .kuwa ni zizi linaloitwa jiji Sio Mimi ila ni wadau mbalimbali wanoijua mbeya vizuri View attachment 2471853 Click to expand... Mikdde said: Sio mim ..View attachment 2471860 Click to expand... Mikdde said: Tofauti ya kahama na mbeya ..ni viazi mviringo tu nunueni magari kwanzaView attachment 2471863 Click to expand... Mikdde said: View attachment 2471876 Click to expand... Mikdde said: Jiji la mwisho Kwa usafi View attachment 2471887 Click to expand... Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji.
Mikdde said: Mbeya inajulikana nchi nzima na Duniani kote .kuwa ni zizi linaloitwa jiji Sio Mimi ila ni wadau mbalimbali wanoijua mbeya vizuri View attachment 2471853 Click to expand... Mikdde said: Sio mim ..View attachment 2471860 Click to expand... Mikdde said: Tofauti ya kahama na mbeya ..ni viazi mviringo tu nunueni magari kwanzaView attachment 2471863 Click to expand... Mikdde said: View attachment 2471876 Click to expand... Mikdde said: Jiji la mwisho Kwa usafi View attachment 2471887 Click to expand... Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji.
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,070 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji. Click to expand... Ni Lini mbeya imefikia hivyo vigezo
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji. Click to expand... Ni Lini mbeya imefikia hivyo vigezo
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,071 Mikdde said: Ni Lini mbeya imefikia hivyo vigezo View attachment 2471938View attachment 2471939 Click to expand... Kigezo kipi ambacho haijakidhi?
Mikdde said: Ni Lini mbeya imefikia hivyo vigezo View attachment 2471938View attachment 2471939 Click to expand... Kigezo kipi ambacho haijakidhi?
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,072 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji. Click to expand... Endelea kujifariji kasafishe mitaa kwanza
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Sasa hao wote na wewe mna tofauti gani? Wote hamjui vigezo vya Jiji , Wanaozingumzia Slum labda Kama hawajawahi fika Mwanza au Dar maana mauchafu ya slums za huko huwezi kuta Mbeya.. Mwisho waambie huko kwenye Majiji Yao ukiacha Dar na Dom unafuata Mbeya kwa kuwa na dual carriage way ya zaidi ya km 32 Katikati ya Jiji. Click to expand... Endelea kujifariji kasafishe mitaa kwanza
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,073 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Kigezo kipi ambacho haijakidhi? Click to expand... Population..
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,074 Mikdde said: Population.. Click to expand... Mbeya kwa Sasa Ina Idadi ya watu wangapi?
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,075 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Kigezo kipi ambacho haijakidhi? Click to expand... Huoni population...hyo Iko chini ya laki 5
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Kigezo kipi ambacho haijakidhi? Click to expand... Huoni population...hyo Iko chini ya laki 5
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,076 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Mbeya kwa Sasa Ina Idadi ya watu wangapi? Click to expand... Leta figure Na unambie imetangazwa kuwa jiji mwaka Gani
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Mbeya kwa Sasa Ina Idadi ya watu wangapi? Click to expand... Leta figure Na unambie imetangazwa kuwa jiji mwaka Gani
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,077 Mikdde said: Huoni population...hyo Iko chini ya laki 5 Click to expand... Kama 2012 kulikuwa na Watu 400,000 Sasa 2022 wanashindwaje kufika 500k?
Mikdde said: Huoni population...hyo Iko chini ya laki 5 Click to expand... Kama 2012 kulikuwa na Watu 400,000 Sasa 2022 wanashindwaje kufika 500k?
The Sunk Cost Fallacy 2 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 9,434 Reaction score 10,965 Jan 7, 2023 #11,078 Mikdde said: Leta figure Na unambie imetangazwa kuwa jiji mwaka Gani Click to expand... Kwani Mwanza wakati inatangazwa ilikuwa na Watu 500k? Iwatoe wapi?
Mikdde said: Leta figure Na unambie imetangazwa kuwa jiji mwaka Gani Click to expand... Kwani Mwanza wakati inatangazwa ilikuwa na Watu 500k? Iwatoe wapi?
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Jan 7, 2023 #11,079 Wakat mbeya mkijifariji na barabara ya njia nne mwanza kujengwa hospitali nyngne ya rufaa ya mkoa
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 7, 2023 #11,080 The Sunk Cost Fallacy 2 said: Kama 2012 kulikuwa na Watu 400,000 Sasa 2022 wanashindwaje kufika 500k? Click to expand... Eti watu 400k...iwanyee wapi.
The Sunk Cost Fallacy 2 said: Kama 2012 kulikuwa na Watu 400,000 Sasa 2022 wanashindwaje kufika 500k? Click to expand... Eti watu 400k...iwanyee wapi.