Kahama VS Njombe/Mafinga

Sunk nimeona nikuulize tu kwanini unapenda kupost sana magari kuliko vitu vingine vya msingi?
Wewe Ni mgeni wa majukwaa ya Ligi,ingia hata jukwaa la Dar vs Nairobi utapata jibu..

Kule ukiacha mabasi,watu wanashindania magari binafsi,vyeti vyao binafsi nk 😁😁.

So tulia tukuoneshe chuma mpyaaa za Kusini naona vile vimachungwa vya Ally's mnavyolingia vimewashika ushamba😜😜

Alama ya kitambaa chekundu huko China Ni Ishara ya upendo, Mwekezaji hufanya hivyo kila anapoleta chuma mpya.

Mwisho huwa napenda kuwakera haters wa Nyanda za Juu Kusini ,whenever kampuni mpya ikianzisha route au kuleta bus jipya lazima nikukereπŸ‘‡
 
Kale Kajengo ka Mahakama mlikuwa mnalingia kujengwa na Ruvuma pia..

I told you kwamba plan Ni kujenga Mikoa yote so kutangulia sio kufika πŸ‘‡

 
Ila uzi wenu wa dar vs nairobi wa kisenge sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wanashindana mpaka msosi kwamba leo amekula nini, wanapiga picha adi za pesa kuahindana, wanashindania adi aina ya viatu, nilishangaa adi wanashindanisha wapi kuna malaya wazuriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi ndio Habari Haters wa Mbeya wakizisikia wanataka kuharisha 🀣🀣🀣🀣.

Kunywa maji baridi kabla ya kusikiliza hii clip πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…