Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna muda adi naona wivu nyie watu wa kusini mnavyopendelewa kwenye utawala huu.
Zamu yenu ilishapita saizi huko Kanda ya Ziwa tunamalizia miradi aliyoshindwa Rais wenu,Miradi mipya subirieni Tactic tuu..

Tulitengwa Sana saizi tuko na Speaker..

Kwa taarifa yako sio tuu Mbeya na Songwe Bali hata Rukwa Kuna miradi 2 mikubwa ya TanRoads inaendelea nadhani Rais akija kufanya ziara za Katavi,Rukwa na Songwe atakuja kuweka Jiwe la Msingi..

Barabara aliyoizindua juzi kule Kyela Ina mita 11 upana na Ni superpaved ya grade ya Kimataifa ❤️❤️ bado njia za Miguu .Itaunganisha Hadi Songwe kupitia Ileje,yaani itaweza kutoka Malawi Hadi Tunduma bila kupita Mbeya..

Kwa taarifa yako sio tuu hao Manaibu Waziri Bali hata Chief wa TanRods Ni mtu wa Iringa.
 
Endelea kujifariji.ila ukiona hivyi Huwa unachanganyikiwa[emoji116]
 
Hakika tambeni tu, ila waambie na sisi huku kanda ya ziwa mtukumbuke asee, hizo miradi ya tactic ni za miji kwani inahusiana vipi na miradi ya barabara za wilayani au za kufungua uchumi sehemu husika, me naumia naona kama tumesaulika kabisa.
 
Wanapendelewa vipi ..hizo lami uchwara zisikutie wenge. .. miradi ya maana ni hii[emoji116][emoji116]View attachment 2462281View attachment 2462282
Wivu 😂😂😂😂

Barabara Zina impacts kubwa kwenye Uchumi kuliko hizo reli zenu..

Can't wait kuona Mbeya-Makete-Njombe imefunguka,

Mbeya -Rungwa-Singida/Tabora imefunguka,

Sumbawanga-Majimoto-Mlele-Tabora

Sumbawanga-Matai-Kasesya/Zambia Border,

Kyela-Ileje na Kasumulu & Isongole Borders zimefunguka.

Njombe/Kibena-Mlimba-Ifakara,

Na Kuna nyingine ilitangazwa ya kutoka Mafinga Hadi Njombe kupitia kiwanda Cha SPM Mgololo.

Zote hizo ziko underconstruction na bado👇

 
Wanapendelewa vipi ..hizo lami uchwara zisikutie wenge. .. miradi ya maana ni hii[emoji116][emoji116]View attachment 2462281View attachment 2462282
Mkuu watu wetu wanakosa barabara huko kwimba, magu, sengerema njia ni za ajabu mazao yanasafirishwa vipi, kukiwa na miundombinu mibaya, wewe waziri na sisi kanda ya ziwa tunahitaji barabara bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…