Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimekaa songea miaka mitatu ni mji mbaya sana kumepauka sana na hakuna maendeleo yoyote
Mimi nimesema Miaka 4 Songea Boys,kwa kipindi hicho haikuwa na Maendeleo makubwa Ila Sasa hivi Ina Maendeleo maana Barabara zote za kwenda Mtwara na MbambaBay Ni lami..

Hospitali mpya ya Mkoa inaendelea na ujenzi πŸ‘‡
 
Hivyo vituo vya afya vimejengwa nchinzima,viva magufuli, viva samia
 
Hizi project zimekamilika ziwa Nyasa na hii itarahisisha Sana usafirishaji wa makaa ya mawe kwani kwani kutoka ngaka mbinga hadi dsm Ilikuwa mbali sana saizi meli itabeba kutoka mbambabay hadi kiwira na roli kwa Sasa watachukulia kiwira port mbeya na kutawanya nchi za afrika mashariki nahuu mradi unakwenda kuifanya Barabara ya TAZAM HIGHWAY gari ziongezeke mara dufu maana gari zote zilizo kuwa zinapita njia ya songea dar via masasi zitahamia ya TAZAM ambayo kwa km ndo fupi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…