Boss kama boss..Toka 1998 anaongoza pride of mwanza..dar to mwanza super najmunisa[emoji91]Mbeya na Songwe inaenda kuunganishwa na Barabara za viwango Bora kabisa kuwahi jengwa hapa Tanzania [emoji116]View attachment 2460249View attachment 2460251
Ongea vitu vya msingi mabasi hautatuweza.Boss kama boss..Toka 1998 anaongoza pride of mwanza..dar to mwanza super najmunisa[emoji91]View attachment 2460255
Vitu vya msingi ni hivi[emoji116]Ongea vitu vya msingi mabasi hautatuweza.
Kyela [emoji116]View attachment 2460268View attachment 2460271
Naona unarudia picha as normal [emoji28][emoji91][emoji91]Kasumulu Border post Kyela [emoji116]View attachment 2460280View attachment 2460281
Excuses as usual ,sijarudia hiyo picha ,the time nili post ujenzi ulikuwa ndio unakamilishwaNaona unarudia picha as normal [emoji28][emoji91][emoji91]
Tulia hivi vita huviweziView attachment 2460289
Proud my city....hiki kinawavutia wengi .the Rio de Janeiro of Africa [emoji116][emoji116]Excuses as usual ,sijarudia hiyo picha ,the time nili post ujenzi ulikuwa ndio unakamilishwa
Reli na Barabara kipi Cha Maana na kina add value haraka? πVitu vya msingi ni hivi[emoji116]
STANDARD GAUGE RAILWAY on progressing View attachment 2460277View attachment 2460279
We kweli.uko backwards, mataifa yote duniani Yana improve railway system kwenye mataifa Yao Kwa ajili ya kuboost uchumi..we unaongea nini [emoji116]Reli na Barabara kipi Cha Maana na kina add value haraka? [emoji116]View attachment 2460330
We kweli.uko backwards, mataifa yote duniani Yana improve railway system kwenye mataifa Yao Kwa ajili ya kuboost uchumi..we unaongea nini [emoji116]
Vitu kama hivi huko nsalaga mtavisikia tuView attachment 2460697View attachment 2460698
π€£π€£π€£ Huyo Ni mgonjwa wa akili ,mwenzie amefanya hivi π