Kahama VS Njombe/Mafinga

Watu wa zizini mbeya ..mkiona hivi mnaumia sana eti eh [emoji116][emoji116]
Mwanza to bukoba masaa 4 tu . express boat.vitu hivi kuviona nsalaga miaka buku [emoji28][emoji16][emoji16]
NB :sifanyi marketing,,unaruhusiwa kuignore
 
Watu wa zizini mbeya ..mkiona hivi mnaumia sana eti eh [emoji116][emoji116]
Mwanza to bukoba masaa 4 tu . express boat.vitu hivi kuviona nsalaga miaka buku [emoji28][emoji16][emoji16]
NB :sifanyi marketing,,unaruhusiwa kuignoreView attachment 2450221
Hayo Ni makaburi Wala siwezi panda hata siku Moja na huwa mnazikwa humo ziwani a k a kaburi wazi
 
Hii ni pride of mwanza.the rock city ....huku purchasing power ni kubwa kuliko huko zizini mbeya .....ndo maana ndege zinafanya safari Kila siku asubuhi na Jioni [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2450071View attachment 2450072
Kama kampuni yako haipo hapa kwenye Orodha fahamu kwamba unasafiria mikokoteni na matela ya bajaji mnayoita mabasi
 
Bomba la mafuta la tazama linaanza kusafirisha mafuta safi na TPDC wanajenga mantak makambako kwaajili ya ku supply mikoa ya nyanda za juu kusini na malawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…