We Hujawahi fika Mwanza Hiyo ni Igogo, pia Bwiru haijawah kuwa na SlumsHizo picha Ni za Igogo tuu?
Slums Ni nyingi zingine hata majina sizijui..
Mabatini
Igogo
Bugando
Kirumba
BwirView attachment 2443940
Hapa Ni Igogo? ππππ
Na hapa Ni Igogo? πWe Hujawahi fika Mwanza Hiyo ni Igogo, pia Bwiru haijawah kuwa na Slums
Isipokuwa frame namba Moja...frame zote ni igogo...Kwa hyo kama huijui mwanza Bora ukae kimya
Mabatini,Kirumba,mkolani nkIsipokuwa frame namba Moja...frame zote ni igogo...Kwa hyo kama huijui mwanza Bora ukae kimya
Ngoja nikusaidieMabatini,Kirumba,mkolani nk
Unavyosema kirumba na bwiru ni slums... angalia hapo juu
Kijana wa Nsalanga anaisoma Mwanza google tuHalafu kuwa kuongeza maeneo ya kirumba na gana kuna magorofa mengi marefu kuliko waliyonayo mbeya
Pia mimi nakumbuka, nimesoma kweny ATLAS 2020, Kila kanda naijua kichwani na mikoa yake yoteRuvuma ipo nyanda za juu kusiniView attachment 2443561
Hizi zote bado unapost ni igogo, kasoro picha moja tu
kumbe mtaa wa nyakato ni bab kubwa mpaka unafananishwa na CBD ya mbeya na wakati hata nyakato haipo kwenye top ten best neighbourhood za Mwanza city, nyakato piga haooo.ππ Sasa hapo Kuna kipi Cha kuzidi Uyole?View attachment 2443585
Mwanza CBD ππkumbe mtaa wa nyakato ni bab kubwa mpaka unafananishwa na CBD ya mbeya na wakati hata nyakato haipo kwenye top ten best neighbourhood za Mwanza city, nyakato piga haooo.
na nyakato ni mtaa tu ambao haupo kwenye top ten ya makazi bora ya jiji la Mwanza.Nyakato ina ghorofa Nyingi yafaa iwe Mbeya CBD
leta current sio za mwaka 2006Mwanza CBD ππView attachment 2444593
nikutoe ujinga hapo ni mabatini na hizo ni kotaz za line police.Hizo picha Ni za Igogo tuu?
Slums Ni nyingi zingine hata majina sizijui..
Mabatini
Igogo
Bugando
Kirumba
BwirView attachment 2443940
Hapa Ni Igogo? ππππ