Kahama VS Njombe/Mafinga

Ili jiji likamilike haya ni mambo ya muhimu si kujaza tu maghorofa mjini, na mwanza imetimiza haya, na sio park tu ina national park katikati ya jiji😍😍😍😍
Sasa kuwa na national ndio Nini hasa? Mwanza na Dom ambako Hakuna hata Kijani Wal hiyo National Park zaidi ya Bustani ya Chinangali,Lipi Ni Jiji Bora?

Mbeya Ina Bustani ya Jiji achilia mbali misitu iliyohifadhiwa inahozunguka Jiji,mbalizi Kuna Samba la Wanayamapori Ifisi,tafuta excuses nyingine.
 
Kwa hiyo kutokuwa na cbd ndio disorganised au ? 😁😁😁😁.

Kati ya Mwanza na Mbeya wapi Ni slums City? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Bullet train yenu hii hapa πŸ‘‡
View attachment 2443113
Hii ni bullet train ya nyinyi wadanganyika na sio ya Mwanza, na wadanganyika wengi wamerundikana Dar, dodoma na morogoro zimeletwa kqa ajiri yao msiwe wajinga, sgr Mwanza itakamilika 2027 kwanini mabehewa yaletwe kipindi hiki?
 
Nimezoom hiyo picha ya juu nikaona nyumba za udongo kama zote hapo green city naon ilipaswa kuitwa desert city sio kwa ukame huo.
 
Tatizo sio lako bali ni kutokutembea na kutokuijua Mwanza ata hiyo mbeya haiwezi kuizidi Mwanza kwa ukijani, naomba huweke park ya jiji la mbeya hapa au recreation area za mbeya jiji.
 
rafiki angu kitombile.hiv mji kama haupendezi ,unapigaje picha
Jiji la mbeya limepauka na mivumbi kama yote kutwa nzima kudanganywa kama watoto et green cityπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Hivi huwa mnapata mvua mm ngapi kwa mwaka nyie green city.
 
NI Sahihi upanuz ukikamilika watazifunga tu mfano saiz mkoa wa njombe wamefunga TAZAM ROAD wangingombe zimefungwa ukija makambako zimefungwa songea road na njombe
 
Nimezoom hiyo picha ya juu nikaona nyumba za udongo kama zote hapo green city naon ilipaswa kuitwa desert city sio kwa ukame huo.
Wivu tuu na excuse as usual πŸ˜†πŸ˜†,iko wapi hiyo picha maana nililipinga hizo picha hakuna uswahili hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…