The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Mnaenda kutafutiza picha za Kwimba afu unaita Uyole? ππ.Uyole hapo af mnatudanganya
Mnajitahidi Sana kuokoteza picha za Misungwi Ila nitazidi kuwaumbua.ππHapo majumba mengi ni yatope yaani hawa wana Mbeya huwa wanajitapa ujinga! Huu mji hadi SIngida haina huo ujinga!
Trash city katika ubora wakeUjenzi holela kwa Mbeya Ni wa kutafutiza huwezi linganisha na Mwanza.
Uyole
View attachment 2442582View attachment 2442583View attachment 2442584View attachment 2442585View attachment 2442586
Shy town pazuri kuliko uchafu huu uliopost hapa ...nani aliyewaita green city wakati mavumbi yamejaaMnajitahidi Sana kuokoteza picha za Misungwi Ila nitazidi kuwaumbua.
This is how Mbeya City is well plannedView attachment 2442701View attachment 2442702View attachment 2442703View attachment 2442704
Umeanza kuhamisha magoli ππTrash city katika ubora wake
Nyumba kutu zimejaa mavumbi Kila Kona
Kwa hyo hapo Kuna mipango GaniUmeanza kuhamisha magoli
Mada Ni ujenzi holela na Wala sio mabati.kuwa ya kutu.
Unatumia nguvu nyingi Sana kupambana na Mbeya unfortunately haitoweza..Shy town pazuri kuliko uchafu huu uliopost hapa ...nani aliyewaita green city wakati mavumbi yamejaa
Sio Mimi ni HawaUnatumia nguvu nyingi Sana kupambana na Mbeya unfortunately haitoweza..
Mbeya is real green CityView attachment 2442771View attachment 2442778View attachment 2442781View attachment 2442782View attachment 2442783View attachment 2442784View attachment 2442785View attachment 2442786View attachment 2442787View attachment 2442788View attachment 2442789View attachment 2442790View attachment 2442791View attachment 2442792View attachment 2442793View attachment 2442794
Hii hapaMwenye cbd ya mbeya naomba hawekw hapa toka nianze battle humu sijawahi ona cbd ya mbeya mwenye nayo atupie humu, ili tuilinganishe na miji kama singida, shy town, iringa au moshi.
Hawa ndugu zetu watanzania bdo wanasafari sana tatizo ubishi hili halistahili kuwa jiji kiukweli.
Cbd yao huwa ipo maeneo gani huwa nashindwa kabisa kamanda kuuelewa huu mji.
In addition to hiyo Ni hii hapa π
Cbd imejaa nyumba za kawaida kuliko commercial buildings hatari sana, ni bora nyumba bora kwenye cbd kuliko nyumba za tope katikati ya mji.
Hata wenyeji wake hawaelewi ni wapi...wanaangalia lilipo soko na stendi ndo wanapaita mjiniCbd yao huwa ipo maeneo gani huwa nashindwa kabisa kamanda kuuelewa huu mji.
Kaghorofa kamojaIn addition to hiyo Ni hii hapaView attachment 2442859View attachment 2442861View attachment 2442862
Naomba aerial view ya cbd yenu yote ya mbeya, na uniambie mecover maeneo gani? Huu mji umekaa kama mazingaombwe.In addition to hiyo Ni hii hapa πView attachment 2442859View attachment 2442861View attachment 2442862
Huwa nakwambia Mara nyingi kwamba Mbeya Ni Kama Dar Ina CBD 2.Cbd yao huwa ipo maeneo gani huwa nashindwa kabisa kamanda kuuelewa huu mji.