Kahama VS Njombe/Mafinga

That is not seif plaza, isamilo hakuna jengo lolote linaitwa plaza
Linaitwaje? Hapo kwenye Hilo jengo sio mgeni unless niwe nimesahau jina nimewahi kuja kwa jamaa yangu mwanasheria hapo..

Anyway This is Mbeya you are warmly welcome πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221205-115132.png
    288.6 KB · Views: 7
  • 1670230347102.jpg
    52.1 KB · Views: 7
  • 1670230336813.jpg
    58.9 KB · Views: 6
  • 1670230312967.jpg
    46.9 KB · Views: 6
  • 1670230307917.jpg
    50.8 KB · Views: 6
  • 1670230329735.jpg
    66.7 KB · Views: 6
Eti Mengi Sasa Kama Ni mengi si Mji wote ungeathirika sasa
Tofauti na vibus vya mchongo..ukitizama background ya bus .hizo ni nyumba za makazi mapya mbeya..ni sawa na kusema kisesa , buhongwa, usagara.mji unakojengwa ,vimejengwa vijumba vya ajabu na vya kizamani...
...
Kila siku tunawaambia purchasing power ya watu wa kusini Iko low hamuelewi
..
Uyole kuelekea mlima nyoka
 
Wakati mbeya mnatafakari vijumba vya mchongo..mwanza huduma ya mtandao inazidi kushika kasi ..baada ya kuiovertake dar kwenye speed ya internet..now we are connected to
 
Sishangai ripoti ya ALAT mbeya ni jiji la mwisho Kwa usafi ...Kwa haya mabanda ni Halali kabisa.....mbeya haijawahi kuwa jiji by qualifications ni jiji by politics

Mitaa mbalimbali ya jiji ...Mara mia nimekaa milima ya mabatini,igogo ,au kigoto ,kumekaa kijanja kuliko hapa
 
Huku sio uyole Ni nje ya Mji huko Nsalaga kwa mbele.

By the way hizo nyumba Ni nzuri kuliko Yale mauchafu ya Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…