Kahama VS Njombe/Mafinga

Ni ushamba kujikita na kujadili sana aina ya mabasi.Angalau tungetaka tu kujua wamiliki kama ni wakazi au wanatokea katika maeneo ya ubishani lakini kujadili na kuleta mibasi sana hii tuwaachie makamanda underground huko.
Mwambie mwenzio huko
 
Kumbe nawe umeona...yuko anapost magari ya wanaume wenzie...

Mabasi yenyew 99% yako imported kutoka china....

Kwa nini tusijadiri namna ya kuunga magari yetu sisi wenyew..au yeye kuwa na kampuni lake pia..aliite KIVEVELE TRANSIT
 
Huwa anapasikia tu .akiona zile Bus za isamilo Express
Dar-Mbeya kila siku,hawavumi Ila wamo.

Kyela Express
Rungwe Express
Platnumz
Happy Nation

Twende kazi πŸ‘‡
 
Attachments

  • 20221203_224346.jpg
    163.5 KB · Views: 7
  • 20221203_224037.jpg
    121 KB · Views: 7
  • 20221203_223928.jpg
    95.8 KB · Views: 7
  • 20221202_055620.jpg
    258.7 KB · Views: 7
  • 20221202_055634.jpg
    258.7 KB · Views: 8
  • 20221203_224119.jpg
    74 KB · Views: 7
  • 20221203_081348.jpg
    64 KB · Views: 7
  • 20221204_131021.jpg
    53.1 KB · Views: 7
Kumbe nawe umeona...yuko anapost magari ya wanaume wenzie...

Mabasi yenyew 99% yako imported kutoka china....

Kwa nini tusijadiri namna ya kuunga magari yetu sisi wenyew..au yeye kuwa na kampuni lake pia..aliite KIVEVELE TRANSIT

Vumilieni tuu mateso yako pale pale nitazidi Kuwakera Sana kina instanbul na Kitombile na vyuma vikali vya Nyanda za Juu Kusini.

Dar-Mbeya twende kazi na

Green line
Al Saedy
πŸ‘‡
 
Attachments

  • 20221202_051300.jpg
    552.4 KB · Views: 8
  • 20221203_223957.jpg
    106.1 KB · Views: 7
  • 20221203_224109.jpg
    71.9 KB · Views: 7
  • 20221204_132355.jpg
    101.8 KB · Views: 7
  • 20221204_132158.jpg
    81.3 KB · Views: 7
  • 20221204_131335.jpg
    388.9 KB · Views: 8
  • 20221204_131333.jpg
    536.2 KB · Views: 9
  • 20221204_131957.jpg
    89.1 KB · Views: 8
  • 20221202_051303.jpg
    447.5 KB · Views: 9
  • 20221205_224936.jpg
    119.2 KB · Views: 7
  • 20221206_123439.jpg
    120 KB · Views: 7
Vumilieni tuu mateso yako pale pale nitazidi Kuwakera Sana kina instanbul na Kitombile na vyuma vikali vya Nyanda za Juu Kusini.

Dar-Mbeya twende kazi na

Green line
Al Saedy
πŸ‘‡
Wenzako wameshaanza kukukataa nakukuona kama mwezi mpevu😝😝😝😝😝
 
Ni ushamba kujikita na kujadili sana aina ya mabasi.Angalau tungetaka tu kujua wamiliki kama ni wakazi au wanatokea katika maeneo ya ubishani lakini kujadili na kuleta mibasi sana hii tuwaachie makamanda underground huko.
Wewe ndio mshamba na boya kabisa,tunajadili ubora wa Huduma za usafiri sehemu Moja Hadi nyingine ndio maana watu wanaanzisha threads kuulizia nipande bus gani zuri,kwamba hao Ni wajinga wanaotaka kujua Aina ya bus Ila wewe ndio mjanja au?

Mambo ya wamiliki ukijua ikusaidie Nini? Haya Sasa umejua Mchina ndio anamiliki Newforce na Msigwa anamiliki Superfeo so what?

Huu Kama sio upumbavu Ni kitu gani yaani ujivunie Mali ya mtu mwingine badala ya ujivunie Huduma anazotoa kwako huyo mwenye Mali yake?
 
Wenzako wameshaanza kukukataa nakukuona kama mwezi mpevu😝😝😝😝😝
Aisee Nina wenzangu Mimi humu jukwaani kweli? Wenzangu Ni wale naoishi nao acha upumbavu..

Any stupid fork hawezi kuwa Mwenzangu na Mimi siko hapa kutafuta wafuasi,ukikereka quit au pita kushoto sikualika mtu humu na hii sio mada Kama ile ya Jamii challenge kwamba natafuta wapiga kura..

Mimi ndio nilianzisha hii Ligi wamekuja wengi wametoka na wengine watakuja nk nk so tueipangiane maisha kenge nyie.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The sanki farasi kwenye ubora wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fala sana wewe ngoja wakuache upambane mwenyewe na miji yako isiyokuwa na mielekeo, muda wote unapost mabasi tu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…