Ninavojua Mimi walisha sema nyanda za juu kusini mkoa utako tolewa ni rukwa utaenda Kanda ya magharibina ramani yake ndo HiYo na baada ya kutoa hu mkoa ikanekana mbeya sio centre Tena ya nyanda za juu kusini kijiografia inaonekana ni mkoa wa njombe walikubaliana Kuna baadhi ya miradi ya Kanda itakuwa inajengwa mkoa wa njombe ramani hii hapo chiniHivi kwa Nini Mkoa wa Iringa wasiuhamishie Kanda ya Kati badala ya Nyanda za Juu Kusini?
Nasema hivi kwa sababu kijiografia uko karibu zaidi na Dodoma kuliko Mbeya..
Nyanda za Juu Kusini tubakie na Mikoa ya Ruvuma , Njombe,Mbeya,Songwe na Rukwa maana hata kimuingiliano iko integrated zaidi.π
Huwezi itoa Rukwa kwa sababu Mbeya ambayo Ni Makao Makuu ya Kanda Ina muingiliano mkubwa zaidi na Rukwa na Songwe kuliko ilivyo Iringa na Ruvuma..
St.Augustine Peramiho,Segerea-Dsm,Kipara para,na Ntungamano.Kwa kanisa zimewekwa kikanda.Kwenye suala la unadhifu wa mazingira zote ziko Njema sana.Seminari kuu ya Ntungamo Bukoba...ninaambiwa seminari kuu kama hiz zipo tano tu tz nzima...moja wapo ni hii...
Tazameni mazingira wadau...kwa nini mtu husiwe padre[emoji23][emoji23]View attachment 2434833View attachment 2434835View attachment 2434836View attachment 2434837
Huu Ni mgawanyo mbovu Sana yaani Pwani iungane na Arusha na Morogoro iungane na Dodoma nk?
Sasa likitaga Moja ndio Nini? Mwamba ana fleet ya kuzidi..Limetagaa
View attachment 2435369
Mr mabus ...[emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa likitaga Moja ndio Nini? Mwamba ana fleet ya kuzidi..
Anyway ngoja niendelee kuwakera fungua tuu hii video hapa [emoji116]
Top 5 ya Basi VIP Mbeya,Kama huna hela kapande Platnumz hapa usiguse πMr mabus ...[emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa Kuna on fire gani hapo wakati Hayo Majengo yatajengwa Nchi nzima,sikiliza hiyo videoMwanza ....is on fire [emoji91]View attachment 2435477
The matter is why mwanza is to startSasa Kuna on fire gani hapo wakati Hayo Majengo yatajengwa Nchi nzima,sikiliza hiyo video
Morogoro ndio ilianza na sio MwanzaThe matter is why mwanza is to start
Kirumba modern market...render ishakamilika .. utekelezaji march [emoji116]Morogoro ndio ilianza na sio Mwanza
Uthubutu wa kupost huu ushuzi unapata wapWanapita kimya kimya ππ
Njombeπ
Napata nyuma ya tigo yako mkuu ππUthubutu wa kupost huu ushuzi unapata wap