Kahama VS Njombe/Mafinga

Construction of DC&DED Office in Momba Council πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-164356.png
    161.1 KB · Views: 5
  • mkoa_wa_songwe_1669871494947193.jpg
    100.4 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871494947851.jpg
    95.1 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871494947186.jpg
    118.3 KB · Views: 4
  • mkoa_wa_songwe_1669871494947223.jpg
    124.1 KB · Views: 4
  • mkoa_wa_songwe_1669871494947853.jpg
    131 KB · Views: 4
Makao Makuu ya Halmashauri ya Mji Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-164208.png
    247.4 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871371274288.jpg
    153.8 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871371274942.jpg
    153 KB · Views: 3
Ukaguzi wa ujenzi wa Kokoto Primary School-Tunduma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-164304.png
    241.1 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871308504926.jpg
    138.1 KB · Views: 4
  • mkoa_wa_songwe_1669871308504521.jpg
    123.8 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871308505671.jpg
    160.1 KB · Views: 3
  • mkoa_wa_songwe_1669871308504243.jpg
    124.6 KB · Views: 3
Round about ni moja ya utambulisho wa mji pia ni kivutio Sasa manispaa ya mchongo hicho kitu haielewi miji yote yenye future inaviunga hivyo kwenye CBD ZAO
 
Kwa kina Kitombile kule Ukerewe hii wangeita Hospital ya Wilaya πŸ˜‚πŸ˜‚.

Momba DC hiki Ni kituo Cha Afya huko Kijijini.

Kazi inaendeleaπŸ‘‡
 

Attachments

  • mkoa_wa_songwe_1669871456748547.jpg
    113.6 KB · Views: 7
  • mkoa_wa_songwe_1669871456748986.jpg
    105.3 KB · Views: 7
  • mkoa_wa_songwe_1669871623438323.jpg
    110 KB · Views: 8
  • mkoa_wa_songwe_1669871623438577.jpg
    102.8 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221201-081023.png
    166.2 KB · Views: 6
Si bado unaumwa saratan ukipona utaelewe t na wivu unakusumbua tupia round about ya kahama ikiwepo naacha kuchangia huu uzi
Huo ubongo wako umejaa kinyesi yaani huo utopolo na uswazi uliotamalaki mimi kitombile niuonee wivu, ata hivyo sio kosa lako nikosa la kukosa exposure ya mazingira na maeneo mbalimbali, huo ujinga wenu sijui utawaisha lini? Unajisifu kwa huo ujinga tusikuambie.
 
Haha hii ndo kahama ambayo mnaisifu duh kazi ipo
View attachment 2432272
Unajipigilia msumari wa matakoni mwenyewe, hii urbanization ya kahama unaweza kulinganisha na mji wowote wa huko machaka ya kusini, wewe ndio wale wanaolinganisha dhahabu na parachichi.

Huu mji mkubwa kama huu huko nyanda za juu kusini itawachukua karne nzima na hii picha japo ni ya zamani lakini bado kahama ni bora sana na sasa kuna lami kila kona.
Endeleeni kulima maparachichi kaxi ya maendeleo na kujenga waachie wana kahama.
 
Kwa kina Kitombile kule Ukerewe hii wangeita Hospital ya Wilaya πŸ˜‚πŸ˜‚.

Momba DC hiki Ni kituo Cha Afya huko Kijijini.

Kazi inaendeleaπŸ‘‡
Wewe una akili kama za fisi maji kwa taarifa yako haya majengo ya kizwazwa ni ya kawaida sana lakini kwa watu wa kusini ni vitu vigeni na wala hamkuzoea kuviona, pia naona umekuwa zuzu kabisa kwa furaha baada ya kuona kwa mara ya kwanza shule za magorofa zikijengwa kusini.

Hii kitu ni hatari sana lakini poleni kwa kucheleweshewa maendeleo kwa miongo kadhaa naona sasa mnaanza kulamba asali.
 
Tuoneshe majengo ya kawaida ya ya Ukerewe au kwimba naona unavuja Sana πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
NO
Shida sio Yako kuto yajua maeneo nayo ni shida ambayo haihitaji uanze kutoa koment na kama huku master geography Hilo nalo ni tatizo utaishia kutoa matusi wakati unahitaji kupewa elimu
 

Attachments

  • i-1-2.jpg
    168.8 KB · Views: 7
  • 20221125_083948.jpg
    649.3 KB · Views: 7

Attachments

  • Screenshot_20221201-140156_YouTube.jpg
    41.2 KB · Views: 7
  • 20221125_083717.jpg
    23 KB · Views: 8
Haha
Ha haha kahama yenye makorongo Kila Kona na vumbi la kutosha ndo ulinganishe na miji ya huku shida sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…