Hiv vitu sio vya kusifia hata kidogo...hapo mnakuza uchumi wa china na watu wake kwa kufanya huo uchuuzi...Eti wachina saiz wakinga wanaona ni third home mzee Endelea kukeleka
View attachment 2431310View attachment 2431312View attachment 2431313View attachment 2431314
Kwenye swala la biashara mtu hapangiwi mzee ni soko huria ndo maana ukija mikoa ya nyanda za juu kusini kwa Sasa utakutana na viwanda vingi vya wachina na wakenya hasa maeneo haya mafinga ,makambako na mtwango viwanda vinaanzishwa Kila sikuHiv vitu sio vya kusifia hata kidogo...hapo mnakuza uchumi wa china na watu wake kwa kufanya huo uchuuzi...
Ningewaona wamaana sana kama wangefungua viwanda vinavyotumia malighafi za hapa nchini..na nyie mkielekea huko china mnaenda na kitu cha kuwauzia..sio mnaenda mikono mitupu halafu mnarudi na bidhaa zao...ambazo nazo nyingi ni feki...
Kwa kuangalia maendeleo binafsi hao watu wachache wataonekana matajiri kwa huo uchuuzi...lakin kwa maendeleo ya jumla tutabaki maskini tu miaka yote...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Veta ya Wilaya ya Mbarali Ni sawa na Veta ya Mkoa wa Simiyu ππ.Bwege leta VETA ya wilaya ya billion 4 kutoka huko mpauko zone
Soon tutaanza kuogelea[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] acheni kuumizwa na maendeleo ya nchi bwana, sasa hivi unapigwa mwingi kwa mwendo wa Kasia na siyo boti ya Injini...inchi hii [emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo maneno yako nayahifadhi coz unaelewa jinsi Ilemela inavoipiga Mbeya mbele na NyumaUmeishiwa vibaya Sana ππ.
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..
Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2
Tamisemi km 17 za Lami.
TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.
TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Nilikwambia Mbeya ni sawa na Ilemela ukabishaaMaabara ya Utafiti ya Chuo Kikuu Huria OUT kujengwa Njombe..
Makao Makuu ya Kanda zote watajenga Maabara kwa Nini wameruka Mbeya?π
Sindano imepenya yaani Mbeya level ake Ilemela, Njombe yote ni sawa na NyegeziUmeishiwa vibaya Sana ππ.
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..
Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2
Tamisemi km 17 za Lami.
TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.
TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Sawa ila huu ujinga uache πSindano imepenya yaani Mbeya level ake Ilemela, Njombe yote ni sawa na Nyegezi
Sio Mimi ...ni watu waliofika huko [emoji116][emoji16][emoji16][emoji91]Sawa ila huu ujinga uache [emoji116]
Maneno ya serikali haya [emoji116]Umeishiwa vibaya Sana [emoji12][emoji12].
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..
Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2
Tamisemi km 17 za Lami.
TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.
TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
Unakumbuka kauli yangu kwamba hakuna kitu kitajengwa Mwanza afu kisijengwe Mbeya..Maneno ya serikali haya [emoji116] View attachment 2431690
Tutajuaje Sasa Kama sio wewe unajitekenya na kucheka maana ndio huleta hiyo picha.Sio Mimi ...ni watu waliofika huko [emoji116][emoji16][emoji16][emoji91]View attachment 2431685
Vip na hiki mnaletewa au [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji4][emoji116]Unakumbuka kauli yangu kwamba hakuna kitu kitajengwa Mwanza afu kisijengwe Mbeya..
Mlichotuzidi hapo Ni kingo za MTO tuu nothing else
Madishi hayo ndio mnaita station? ππ.Vip na hiki mnaletewa au [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji4][emoji116]
Maji mtayaita mma [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2431705View attachment 2431706
Toa Ushamba hapa ....vitu kwako ni mashikolo mageni .... mwanza sio size yenu in everything.....[emoji116][emoji116]Madishi hayo ndio mnaita station? [emoji23][emoji23].
Tuna reli kitambo sana [emoji116]
Makaratasi as usual πππππ.Toa Ushamba hapa ....vitu kwako ni mashikolo mageni .... mwanza sio size yenu in everything.....[emoji116][emoji116]
Proposed Mwanza university of science and healthy studies ...
Endeleeni kusubiri matawi ya udsm yawajengee vyuo [emoji28][emoji28][emoji28] .huku ni private economy Kama US vileView attachment 2431716
Hatuhitaji mitumbwi Wala mapipa ya gongo.Vipi hapo kijiji cha viazi ...na hiki mnaletewa??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116]
View attachment 2431707View attachment 2431708