Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa hilo soko litazid soko kuu linalojengwa mwanza Lina parking za magari 400 na sehemu za watoto kucheza na swimming pool
Kumbe ndio linajengwa 😜😜😜😜.

Na Mbeya tunajenga Masoko 2 kwenye tactic ,una jipya?

Wapiga picha wa Mbeya wanazungua Sana,picha za kwenye mtanddao Ni zile zile haafanyi updates sijui kwa Nini..

Mwisho laiti Kama tungepata picha za kutoka Meta Hadi Mwanjelwa zingekuwa safi Sana maana zinge cover eneo lote la Forest mpya na Zamani Kuna magorofa Mengi Sana pande sote ingetoa view nzuri Sana.
 
hamuwez kupewa masoko 2 kwny tactics hzo ni propaganda zako tu
 
hamuwez kupewa masoko 2 kwny tactics hzo ni propaganda zako tu
Kwani miradi ya Tactic Nani anapendekeza Kama sio Halmashauri yenyewe? Unapunguza Barabara unapeleka kwenye Masoko.

Tuna soko jipya la Sido na soko la Machinga Airport ya Zamani itakapojengwa stand kuu mpya..

Subiria mwezi wa pili renders na project zitakapoanza ndio utajua mbivu na mbichi.
 
Kwan nan ambae hana masoko tuna soko la kirumba pamoja na mkuyuni yapo kwny tactics πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
[ww QUOTE="The Sunk Cost Fallacy 2, post: 44455182, member: 689752"]
Sasa wewe tumbili ulipokuwa unabisha eti hatuwezi kuwa na Masoko 2 πŸ€ͺπŸ€ͺ ,achaga uhayawani.
[/QUOTE]
Yan nyie mbeya kwa mwanza bado sana yan sisi tunashambulia kwelikweli kwny upande wa barabara tactics kwa nyamagana na ilemela tuna km 35 ww mbeya una km ngp?
 
Tunajenga machinga complex kubwa itakayochukua machinga 5000 eneo la mchafukuoga upo?
Nimekwambia Hakuna kitu mnafanya hakitafabyika Mbeya..

Soko jipya la Old Airport Ni Machinga Complex na pembeni take Stand kuu ya Mabasi Mambo itakuwa mtelezo..

Afu Masoko ya Machinga sio ya kulingia yanajengwa na Pesa za ndani Tunduma TC na Iringa MC Kama lile la Dom ila this time around yatakuwa mazuri na kucapitalise mapungufu ya ramani ya Dom.
 
Nyie mnasubir sisi mkandarasi yupo site U
 
Nyie mnasubir sisi mkandarasi yupo site
 
Matema Beach resorts Lake Nyasa deserves more than this,ilitakiwa tuwe tunashindana na Zanzibar kwenye Utalii wa Beaches hasa za Ziwa Nyasa..

Njooni Mbeya kutoa stress nyie washamba πŸ‘‡
 
Matema Beach resorts Lake Nyasa deserves more than this,ilitakiwa tuwe tunashindana na Zanzibar kwenye Utalii wa Beaches hasa za Ziwa Nyasa..

Njooni Mbeya kutoa stress nyie washamba πŸ‘‡
Sasa wewe tumbili ulipokuwa unabisha eti hatuwezi kupata Masoko 2 via tactic πŸ€ͺπŸ€ͺ ,achaga uhayawani.
Ni kweli hawakupi masoko au stendi mbili labda iwe awamu nyingine ya tactic sio ndani ya awamu moja.
Kwa mwanza kuwa ni miradi miwili inayofanana kama masoko au stendi mbili ni kwa sababu kuna halmashauri mbili kila moja ina miradi yake tofauti.
 
Huu ubishi mnaleta kwa faida ya Nani? Basi tusubirie wakati nitaleta humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…