Kahama VS Njombe/Mafinga

Roughly kuna stand 4 za magari yanayounganisha Kahama na maeneo jirani, mbili zipo kwenye mpango ya TACTIC πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Aisee kwa hiyo Kahama Ina stand nyingi kuliko Mwanza,Mbeya,Dodoma nk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee kwa hiyo Kahama Ina stand nyingi kuliko Mwanza,Mbeya,Dodoma nk
Yes, Kahama geographical advantage yake inaifanya kuwa kituo kuu cha biashara kanda ya ziwa baada ya Mwanza, kila siku watu wanaotoka na kuingia Kahama ni wengi. 1. Stand Kuu (Yutong / Higer/ Marcopolo/ Asia Star 2. Stand ndogo (Bus za zamani/ Tata/ Noah/ Hiace) 3. CDT (Tata za Mikoani) 4. Stand ya Dodoma (Tata/ Hiace/ Noah). Mradi wa Tactic una chapa stand mbili ya 1 na 4.
 
New babe in town, made in Mwanza
View attachment 2421219😍😍😍😍
Hakuna Mji utakuja kuizidi Mbeya kwa vyuma vikali full Mineso yaani..

Safiri Kama uko kwenye ndege ukija Mbeya kwa Bus..

New baby in town πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-095646.png
    220.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221120-095800.png
    203.6 KB · Views: 11
  • 20221120_095748.jpg
    69.5 KB · Views: 10
Mbeya -Dar ,

Another Mineso,Lux Luxury..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221120-100238.png
    198.1 KB · Views: 9
  • 20221120_100906.jpg
    54.3 KB · Views: 9
  • 20221120_095846.jpg
    69.4 KB · Views: 10
  • 20221120_095029.jpg
    53 KB · Views: 9
  • 20221120_094346.jpg
    62 KB · Views: 9
  • 20221120_094351.jpg
    37.5 KB · Views: 9
We endelea kutembelea stendi zenu na kupiga picha ya mabasi ndio kazi uliyobakiza😁😁😁
Tutawapasua kwa pressure ya Mineso ya Mbeya,Kaa kwa Kutulia dozi ikuingie.

Another Baby Mneso in the City,kazi ya dhahabu ya Chunya.

Dar-Mbeya na Achimwene Safaris πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221117_092045.jpg
    293.4 KB · Views: 9
  • 20221119_210229.jpg
    57.7 KB · Views: 8
  • 20221120_095517.jpg
    103.4 KB · Views: 7
  • 20221120_095259.jpg
    173.4 KB · Views: 8
  • 20221120_094445.jpg
    123.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221120-095437.png
    153.8 KB · Views: 9
Tutawapasua kwa pressure ya Mineso ya Mbeya,Kaa kwa Kutulia dozi ikuingie.

Another Baby Mneso in the City,kazi ya dhahabu ya Chunya.

Dar-Mbeya na Achimwene Safaris πŸ‘‡
Ata kanda ya ziwa wanamabasi ya ukweli kuliko hayo😜😜😜😜😜
 
Ata kanda ya ziwa wanamabasi ya ukweli kuliko hayo😜😜😜😜😜
Myatoe wapi? Hakuna bus classic zitakuja kwenye mabarabara mabovu hayo πŸ˜‚πŸ˜‚..

Cites nakozitoa ndio cites za watu wa mabasi na wao ndio husema Hakuna route yenye mabasi makali Kama ya Mbeya..

Sio tuu mabasi makali Bali kila mwaka Kuna kampuni mpya..

Mtaelewa tuu,hii hapa unatoka Kitwe -Dar na Dar-Mbeya-Tunduma..

Royal Luxury Coach πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221119-205708.png
    145.4 KB · Views: 7
  • 20221120_095933.jpg
    118 KB · Views: 8
  • 20221119_205920.jpg
    362.2 KB · Views: 7
  • 20221119_205727.jpg
    100.3 KB · Views: 7
Hayo mabasi mbona ya kawaida sana, ni kama yale yanayoenda bariadi na maswa.
 
Humu hakuna wapiga debe wa stand wengine zaidi yako, ndio maana kwenye mabasi hatukujibu. Simple tu, kanda haiwezi kuwa na miji zina stand zaidi ya mbili na zikose bus classic, hiyo ni dalili kanda ina huduma za mabasi nyingi na nzuri, Ukija kwenye usafiri wa abiria / ndege hakuna kanda makampuni makubwa yanafanya biashara kama Lake zone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…