Kahama VS Njombe/Mafinga

Speaker wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini amesema Mbeya itapata hadhi stahiki πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-170037.png
    226.2 KB · Views: 17
Kama una pressure usiangalie hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-145046.png
    178.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221115-144238.png
    169.7 KB · Views: 15
Kusini kumetengwa Viongozi hawaji 😁😁.

Vp 3rd times mwaka huu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221116-122220.png
    313.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221116-122315.png
    251.5 KB · Views: 14
  • Screenshot_20221116-090514.png
    197.5 KB · Views: 13
Jiji la Mbeya tulishaachana na ujenzi wa shule za chini,Ni maghorofa tuu.

Asante Sana Tulia na Mbunge wa Mbeya Mjini πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221115-143305.png
    142.9 KB · Views: 13
Naona mumepoteana.

BRT ndani ya Mbeya,patamu hapo πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221116-112857.png
    199.7 KB · Views: 14
Coal exports itainua Sana GDP ya Njombe,Ruvuma,Mbeya na Mtwara msimu huu..

Ukisafiri njia ya Songea malori yanayomiminika sio ya Nchi hii

Kule Mtwara bandari iko busy siyo ya nchi hii. Mpaka sasa kuna makampuni zaidi 5 yanatoa Makaa Ruvuma na Njombe na wote wamenunua maeneo either karibu na bandari au karibu na kiwanda cha Dangote. Mwaka huu mambo ni
nchini
 
Kanda ya ziwa inaongoza Kwa uzalishaji wa chakula nchini ...
nyie wanyaki na wabena njooni muone huku

Uzalishaji wa chakula
Kanda ya ziwa 5.7 milioni tonnes
Kanda ya nyanda za juu 4.5 milion tonnes
 
Takwimu za kiuchumi zinazidi kuikataa Kanda ya kusini
Nyanda za juu yawa ya mwisho makusanyo halimshauri

1 dar
2 lake
 
Mbona njaa ndio imejaa huko na Bei hazikamatiki,chakula gani mnazalisha sasa.

Hiyo surplus inawafavour kina Nani au Nani wanayo nyingi?
 
Takwimu za kiuchumi zinazidi kuikataa Kanda ya kusini
Nyanda za juu yawa ya mwisho makusanyo halimshauri

1 dar
2 lake View attachment 2420460
Wingi wa mikoa na wilaya ndio inaweka difference ila tukija kwenye area Moja Moja ,Kanda ya ziwa Ni hamna kitu huko.

Ukiacha Mwanza CC,Ilemela,Geita, Kahama na Tarime Wilaya zingine Ni takataka tuu zinakusanya chini ya Bil.5 kwa mwaka..

Sie Southern Highlands tuna Mbeya Jiji,Tunduma,Njombe,Mafinga,Mufindi,Chunya,Mbarali,Rungwe na Mbeya DC zote zinakusanya zaidi ya 5 bln.
 
Mngekuwa na hizo figure msingekuwa wa mwisho
.mmezidiwa na Hadi na mtwara na linndi
 
Mngekuwa na hizo figure msingekuwa wa mwisho
.mmezidiwa na Hadi na mtwara na linndi
Kanda ya Kusini inqhusisha Ruvuma,Lindi na Mtwara..Unajua Zina wilaya au Halmashauri nyingi kuliko Southern Highlands yenye Mikoa 5?

Figures hizi hapa bwashee πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…