Kahama VS Njombe/Mafinga

Mbeya haiko kwenye top 10 ya populated Regions in Tanzania ila has very Strong economy just behind Dar and Mwanza..

The reason behind is tourism activities..

Hotel phoenix πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-072925.png
    243.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20221106-072948.png
    217.2 KB · Views: 22
Mandhari moja matata Sana ,hiyo ni live bila make ups Wala filter..

Mbeya the Green City πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-072503.png
    142.7 KB · Views: 24
Awesome Mbeya City πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-072422.png
    243.5 KB · Views: 18
  • Screenshot_20221106-072350.png
    275.3 KB · Views: 24
Manispaa ya ilemela.ni far ahead ya jiji Zima la mbeya
evidence ni hziView attachment 2408511View attachment 2408512View attachment 2408513

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mwanza inatia aibu,kila picha ya Mwanza lazima uone mauswazi πŸ˜‚πŸ˜‚..

Wivu unakusumbua,Labda iko ahead kwenye mdomo wako ila kwenye reality unafahamu kwamba unajitekenya na kucheka mwenyewe,walau hata mapato yangelingana kidogo ungeeleweka..

Mbeya City metro inakadiriwa kuwa na watu zaidi ya 600k πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-071317.png
    45.9 KB · Views: 27
Video fupi ya Jiji la Mbeya,mapovu ruksa kwa hatersπŸ‘‡
 

Attachments

  • 1667763001645.mp4
    10 MB
  • 1667765193224.mp4
    1.1 MB
This is a place I call my homeland..

Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1667764593961.jpg
    58.2 KB · Views: 22
  • 1667764662356.jpg
    62 KB · Views: 20
  • 1667764682411.jpg
    54.8 KB · Views: 21
  • 1667764232654.jpg
    33.5 KB · Views: 26
Maskini...check mavumbi...


Imagine Tz nzima kuna ukame wa kutisha...

Lakin Bukoba mvua zinanyesha muda wote na hazikatiki...
Nikajua ulikuwemo kwenye ndege ya prececion πŸ™„πŸ™„.

Jamani tupeane pole maana tumepoteza staff mwenzetu huko 😭😭
 
Wachuuzi wa Kahama wanatoa majicho tuu hawana cha ku post πŸ˜‚πŸ˜‚..

Sweet Njombe πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221106-225520.png
    384.5 KB · Views: 19
  • Screenshot_20221106-224808.png
    248.7 KB · Views: 24
  • 1667764146686.jpg
    26 KB · Views: 16
  • Screenshot_20210906-195032.png
    167.6 KB · Views: 19
Wachuuzi wa Kahama Tunaomba mtupishe kwenye Uzi,level zenu nyie ni Makambako na Tunduma..

The Town hosting the HQs of Njombe,call it Njombe TC πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1667764052486.jpg
    75 KB · Views: 17
  • 1667764108939.jpg
    68.5 KB · Views: 29
  • 1667764270828.jpg
    114.3 KB · Views: 21
  • 1667764297324.jpg
    70 KB · Views: 22
  • 1667764453121.jpg
    52.4 KB · Views: 24
  • 1667764862347.jpg
    122.8 KB · Views: 22
Unaweza sema uko Davos Switzerland kumbe ni Njombe Tanzania πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1667764187770.jpg
    90 KB · Views: 21
  • 1667764824822.jpg
    335.4 KB · Views: 20
  • 1667764786827.jpg
    75 KB · Views: 23
  • 1667764786685.jpg
    96.7 KB · Views: 24
  • 1667764786910.jpg
    137.1 KB · Views: 22
Wela wela wela ! Macho hayachoki kutazama πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20210806-211204.png
    205.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20210906-195848.png
    122.8 KB · Views: 20
  • Screenshot_20210906-195911.png
    142.3 KB · Views: 20
Mambo yameanza kubadilika TAZARA tayari kampuni binafsi zimeanza kuingiza train zake na ndio maana baadhi ya mizigo imeshaanza kupakiliwa makambako mkuu wa mkoa wa njombe naona malengo yake ya kuifanya makambako hub of logistic yameanza kuonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…