Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Kijiografia huo mkoa wa nyanza hauwezi kuwepo, hayo maeneo uliyotaja yako kushoto kushoto sana, imagine utoke Magu kwenda SengeremaHujui kitu tuulize sisi tunaojua, Ipo proposal ya mkoa mpya wa Nyanza ambao utakuwa na Wilaya za Busega, Magu, Kwimba, Sengerema, Buchosa na Misungwi. Huku baadhi ya maeneo ya kata za Magu na Misungwi zikianzisha wilaya mpya ya Kisesa na kulifanya Jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania (Mwanza ) kuwa na Wilaya tatu yaani Nyamagana, Ilemela na Kisesa. Wazo la Chato kuwa mkoa linakufa natural death.
Jamaa mwongo sana....hamna kitu kama hicho ...proposal zilizopo ni wilaya Mpya ya sumve ,buchosa na kisesa ....na kama kumegwa mkoa ,buchosa itaondoka kwanza .....kwanza logicallyKijiografia huo mkoa wa nyanza hauwezi kuwepo, hayo maeneo uliyotaja yako kushoto kushoto sana, imagine utoke Magu kwenda Sengerema
Simply liesme hapo sijaelewa kitu kwa hiyo mkoa wa Mwanza utakuwa na wilaya tatu za nyamagana, ilemela na kisesa tu?
Popobawa hana mipaka, na lile baridi la Njombe lazima apite na opposite sex tuMara nyingi nyie Misukule wa Mwendazake huwana hamna emotional stabiliy na mnadanganywa kirahisi Sana..
Kahama haiwezi kumegwa labda utamegwa wewe kama Hawa mama zako wanaomegwa na popo bawa huku
Naomba uelewa kuwa mji ukishakuwa Jiji hauhitaji tena wilaya za vijijini ndio maana leo kuna mpango wa kuanzisha wilaya mpya ya kisesa jimbo la uchaguzi la Usagara ili maeneo yote yaliyopo wilaya za Misungwi na Magu ambayo yameungana na Jiji kuingizwa Jijini, halafu wewe unasema eti hata miaka 500 ijayo haiwezekani. Are you serious ? Unakumbuka ni kwa nini Dar iliondolewa mkoa wa Pwani mwaka 1974 ? Au ulikuwa hujazaliwa ? Subiri tu tuombe uzima utaona.Hii kitu itakuja kutokea miaka 500 ijayo sio sasa
Huo Mwaka 1974 ata mama yangu hajazaliwa. Nachouliza kwa hiyo Jiji la Mwanza litakuwa limezungukwa na mkoa wa nyanza? Pili kwanini wanataka kufanya hivi? Tatu kuna umuhimu gani wa kufanya haya? Je unazani uchumi wa Mwanza utakuwa ni thabiti bila kutegemea hizo wilaya zitakazounda mkoa wa nyanza? Je stability ya uchumi kwa jiji la Mwanza utakuwepo?Naomba uelewa kuwa mji ukishakuwa Jiji hauhitaji tena wilaya za vijijini ndio maana leo kuna mpango wa kuanzisha wilaya mpya ya kisesa jimbo la uchaguzi la Usagara ili maeneo yote yaliyopo wilaya za Misungwi na Magu ambayo yameungana na Jiji kuingizwa Jijini, halafu wewe unasema eti hata miaka 500 ijayo haiwezekani. Are you serious ? Unakumbuka ni kwa nini Dar iliondolewa mkoa wa Pwani mwaka 1974 ? Au ulikuwa hujazaliwa ? Subiri tu tuombe uzima utaona.
Kumbe na wewe una assume ..sio lazima mkoa ukatwe kama ulivyopropose ..maybe waongeze halmashauri na majimbo ya uchaguziNaomba uelewa kuwa mji ukishakuwa Jiji hauhitaji tena wilaya za vijijini ndio maana leo kuna mpango wa kuanzisha wilaya mpya ya kisesa jimbo la uchaguzi la Usagara ili maeneo yote yaliyopo wilaya za Misungwi na Magu ambayo yameungana na Jiji kuingizwa Jijini, halafu wewe unasema eti hata miaka 500 ijayo haiwezekani. Are you serious ? Unakumbuka ni kwa nini Dar iliondolewa mkoa wa Pwani mwaka 1974 ? Au ulikuwa hujazaliwa ? Subiri tu tuombe uzima utaona.
Kwanza elewa ,,kutoka magu Hadi town ni km 50 ,kutoka misungwi Hadi km 40 ,kutoka sengerema Hadi ni km 45 ,kutoka kwimba upande wa Jimbo la sumve ni km 45, kwimba upande wa ngudu ni km 70 ,,buchosa ni km 100 , ukerewe ni km 30 , ilemela ni km 15 ...wilaya zote isipokuwa buchosa ,na Jimbo la ngudu zinafika town within 50 km ....Kwa hyo hamna sababu ya kukatwa mkoa mwingineHuo Mwaka 1974 ata mama yangu hajazaliwa. Nachouliza kwa hiyo Jiji la Mwanza litakuwa limezungukwa na mkoa wa nyanza? Pili kwanini wanataka kufanya hivi? Tatu kuna umuhimu gani wa kufanya haya? Je unazani uchumi wa Mwanza utakuwa ni thabiti bila kutegemea hizo wilaya zitakazounda mkoa wa nyanza? Je stability ya uchumi kwa jiji la Mwanza utakuwepo?
Na Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo ukitoa eneo la ziwa na bado utake kuikata tena si itakuwa kama wilaya ya ifakara kwa ukubwa.Kwanza elewa ,,kutoka magu Hadi town ni km 50 ,kutoka misungwi Hadi km 40 ,kutoka sengerema Hadi ni km 45 ,kutoka kwimba upande wa Jimbo la sumve ni km 45, kwimba upande wa ngudu ni km 70 ,,buchosa ni km 100 , ukerewe ni km 30 , ilemela ni km 15 ...wilaya zote isipokuwa buchosa ,na Jimbo la ngudu zinafika town within 50 km ....Kwa hyo hamna sababu ya kukatwa mkoa mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Samia Hana muda wa kupoteza kufanya hvyo ...angedili na tabora na morogoro Kwanza Inge make senseNa Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo ukitoa eneo la ziwa na bado utake kuikata tena si itakuwa kama wilaya ya ifakara kwa ukubwa.
Kabisa asee Hii Mwanza yetu waiache tu asee, kwimba na magu ni kilimo cha pamba na mazao mengine ya biashara, misungwi kilimo cha chakula, sengerema ni dhahabu, uvuvi na kilimo, ukerewe uvuvi na kilimo cha matunda hizo wilaya zote zina potential kwa uchumi wa Mwanza.Samia Hana muda wa kupoteza kufanya hvyo ...angedili na tabora na morogoro Kwanza Inge make sense
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninakuambia tayari mipango ipo ya mkoa mpya wa Nyanza. Ni suala la muda tu.Kumbe na wewe una assume ..sio lazima mkoa ukatwe kama ulivyopropose ..maybe waongeze halmashauri na majimbo ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba wew ni mjumbe kwenye vikao vya ushauri vya mkoa .au baraza la madiwani wa halmashauri ipi mwanzaMimi ninakuambia tayari mipango ipo ya mkoa mpya wa Nyanza. Ni suala la muda tu.
Siyo kweli. Kutoka Magu mjini hadi jijini Mwanza ni km 64 na kutoka Ngudu mjini hadi Jijini Mwanza ni km 96. Aidha kutoka Sengrema hadi Mwanza kupitia Busisi ni km 64. Kutoka Sengerema kupitia Kamanga hadi Mwanza ni km 32.Kwanza elewa ,,kutoka magu Hadi town ni km 50 ,kutoka misungwi Hadi km 40 ,kutoka sengerema Hadi ni km 45 ,kutoka kwimba upande wa Jimbo la sumve ni km 45, kwimba upande wa ngudu ni km 70 ,,buchosa ni km 100 , ukerewe ni km 30 , ilemela ni km 15 ...wilaya zote isipokuwa buchosa ,na Jimbo la ngudu zinafika town within 50 km ....Kwa hyo hamna sababu ya kukatwa mkoa mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kufuatilia utapata ukweliKwamba wew ni mjumbe kwenye vikao vya ushauri vya mkoa .au baraza la madiwani wa halmashauri ipi mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu usilale kuwa active .. nikuelekezeJaribu kufuatilia utapata ukweli
Nishafatilia na ukweli ni kwamba ... mipango iliyopo ni kuanzishwa Kwa wilaya ya kisesa ,mapendekezo ya RCC mkoa wa mwanza mwezi wa 5. 2021,ikapitishwa na baraza la madiwani la wilaya magu ,na baraza la madiwani wilaya ya misungwi,,Kisha baraza la madiwani la manispaa ya ilemela...Jaribu kufuatilia utapata ukweli
Hiyo taarifa ilikuwepo ila nakuambia kwamba hiyo sasa ni historia, hiyo mipango haipo tena. Hakuna cha Buchosa kwenda Geita. Hizi za mkoa wa Nyanza ni mwaka huu 2022 mwanzoni na chanzo hasa ni Busega hawataki kubaki Simiyu. Suala hili limekaa vizuri kabisa kilichosubiriwa ni sensa tu ikamilike. Ebu vuta subira ndugu utaona.Nishafatilia na ukweli ni kwamba ... mipango iliyopo ni kuanzishwa Kwa wilaya ya kisesa ,mapendekezo ya RCC mkoa wa mwanza mwezi wa 5. 2021,ikapitishwa na baraza la madiwani la wilaya magu ,na baraza la madiwani wilaya ya misungwi,,Kisha baraza la madiwani la manispaa ya ilemela...
Mwezi wa 8 2021 madiwan wa buchosa walipendekeza kuhamishiwa mkoa wa geita ,kikaitishwa kikao Cha RCC.ikapendekezwa buchosa ipelekwe geita Kwa sharti la kisesa kuwa wilaya..
RCC geita wakati wanajadili kuundwa mkoa wa chato , walipendekeza buchosa ije geita ,na bukombe iende chato ...
.na Kuna proposal ya kuanzishwa wilaya ya sumve kama sio halmashauri...kutoka kwimba ...ambayo itahusisha kata za kanyerere, koromije (misungwi)bugomba , mantare,sumve, bungulwa,nyamatara,bukwimba ,na nyambiti ..
Sent using Jamii Forums mobile app