The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Namba kumi toa Arusha weka Mara Wana 2.37 mln. Vs 2.35 ya Arusha.πIdadi ya Watu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Tabora
4. Morogoro
5. Dodoma
6. Kagera
7. Geita
8. Tanga
9. Kigoma
10. Arusha
Nyanda za juu kusini hakuna top 10 hata mkoa mmoja...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Na wanang'ang'ana kutwa kulalamika kuwa serikali imewatenga , sasa sjui serikali ipelekee huduma popo na mijusiIdadi ya Watu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Tabora
4. Morogoro
5. Dodoma
6. Kagera
7. Geita
8. Tanga
9. Kigoma
10. Arusha
Nyanda za juu kusini hakuna top 10 hata mkoa mmoja...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wewe mara nyingi hunaga akili na hata shule ulikuwa kukamilisha vidato tuu..Nyanda za juu mko wachache ila ndo mmejaza nyumba za tope mijini zisizo na mpangilio
Kuwe na kanuni maalumu ya Mgawanyo wa rasilimali za Taifa kulingana na vigezo sio utashi wa Kiongozi..Na wanang'ang'ana kutwa kulalamika kuwa serikali imewatenga , sasa sjui serikali ipelekee huduma popo na mijusi
Watu mil.16 mtaweza kuamua mbele ya watu mil.45? Acheni ujinga nyie.Ukitoa Dar giant wa siasa na wanaoamua ni kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na magharibi, nasubiri LNG na Mabomba ya gesi ikamilike huko nako makusanyo yapae juu, miradi ya kigoma ikiisha makusanyo yatakua maradufu, nasubiri ziwa nyasa miradi iishe mapato kusini yapae, Arusha wao tayari waongeze juhudi wafikie bilioni hata 700, Geita migodi izalishe zaidi mapato yapae juu, Dodoma huduma pekee itapandisha mapato mara dufu, Tanga bandari iishe mapato nayo yapae yaani Tanzania tusitegemee Dar pekee kwenye makusanyo uchumi na fursa zisambae ndio nchi itapiga hatua na kukimbia kimaendeleo
Sawa sawa, Tayari...Namba kumi toa Arusha weka Mara Wana 2.37 mln. Vs 2.35 ya Arusha.
Watu mil.16 mtaweza kuamua mbele ya watu mil.45? Acheni ujinga nyie.
Nahisi inaweza kuwaHakuna mwenye List ya Majiji na Miji?
Hawa watu sjui huwa wanafkria Kwa kutumia matako., Hzo si zilikuwa projections , wakat huo zikisubir actual data , sasa assumption unapingana na primary source , ujinga mtupu
List iko Hivi πNahisi inaweza kuwa
Dar
Mza
Mby
Kwa top 3
Baada ya Magufuli kufa, hawa watu wameonekana ni wa hovyo kabisa hawawezi kuongoza nchi.Hawa watu sjui huwa wanafkria Kwa kutumia matako., Hzo si zilikuwa projections , wakat huo zikisubir actual data , sasa assumption unapingana na primary source , ujinga mtupu
Wamehamia Zingiziwa
Sipati logic ya kutafuna bilioni 440 kwa ajili ya sensa, si wangetumia kujenga hii barabara?Folen tunduma
View attachment 2403511
Hizo takwimu umezitoa wap wew?List iko Hivi
Dar,
Mza,
Dom,
Arusha,
Mby,
Tga,
Moro,
Khm,
Tbr,
Moshi.
Niko jikoni huko ila siwezi kiweka source kwa sababu bado hazijatolewa rasmi,zitatoka mwezi ujao zikionyesha population distribution and density nk..Hizo takwimu umezitoa wap wew?
mbeya wana hospitali 34 wakatati Mwanza tuna hospitali 41, kuhusu makazi ya watu Mwanza kaipiga Mbeya, kuhusu huduma za afya bado mbeya kapigwa na kwenye idadi ya watu ndio kabisaa.Idadi ya zahanati ,vituo vya afya na hospitali
View attachment 2403508
mbeya wana hospitali 34 wakatati Mwanza tuna hospitali 41, kuhusu makazi ya watu Mwanza kaipiga Mbeya, kuhusu huduma za afya bado mbeya kapigwa na kwenye idadi ya watu ndio kabisaa.Idadi ya zahanati ,vituo vya afya na hospitali
View attachment 2403508