The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Umeelewa wewe kweli? Hayo ni makazi kutoka Wilaya zote na sio ndani ya Miji pekee kama unavyotaka kulazimisha.Ningetamani kuona hizo neighbourhoods za miji ya Tanga, Moshi na Arusha inayozidi Mwanza idadi ya gorofa.
🙏🙏🙏🙏Umeelewa wewe kweli? Hayo ni makazi kutoka Wilaya zote na sio ndani ya Miji pekee kama unavyotaka kulazimisha.
Umeitoa wapi hiyo mkuu.Makazi bora bado dar na Mwanza zinaongoza kwa kila kitu, ila idadi ya gorofa🙄🙄🙄 Mwanza inazidiwa na Tanga, kilimanjaro, arusha,😂😂😂😂😂 hizi takwimu hizi
Magorofa ya mwanza yazidishwe mara sita ndio.unapata idadi ya magorofa ya arusha hizi sensa hizi😂😂😂😂. Nimepata NBSUmeitoa wapi hiyo mkuu.
Wanafunzi wenyewe wanabadilishiwa matokeoHizi takwimu hizi🙄🙄🙄 ni hatari adi Tanga na kilimanjaro 😂😂😂😂 wakati Mwanza walishaacha kujenga nyumba za kawaida kitambo sana, maeneo kama capripoint, bwiru, nyasaka, kirumba, nyegezi n.k ni nyumba za ghorofa tu.
Ningekuwa sijaishi hizo mikoa nisingedoubtsWanafunzi wenyewe wanabadilishiwa matokeo
Mimi siamini ndio maana nimekaa kimya kuhusu hii sensa, kuna kitu kinatafutwa hapaHizi takwimu zinafanya nisiamini ata matokea ya sensa hii.
Kabisa asee kwamba idadi ya magorofa ya mwanza yazidishwe mara 17 ndio unapata idadi ya magorofa ya dar.Mimi siamini ndio maana nimekaa kimya kuhusu hii sensa, kuna kitu kinatafutwa hapa
Nyanda za juu mko wachache ila ndo mmejaza nyumba za tope mijini zisizo na mpangilioKuongeza watu bila quality ni mzigo kwa taifa.Tunawashukuru Kanda ya ziwa kwa kufyatua kisawasawa lakini Sasa tuleteeni quality Sasa.Kanda ya ziwa unakuta watu wako 30 familia Moja na katika hao hakuna mtaalamu wa fani yoyote.Mbaya zaidi unawakuta wamejenga cottage Fulani za miti,mabati ya kuweka na mawe juu wanasubiri binti aolewe ndio wawe na utajiri wa Ng'ombe tu Taifa haliwezi Kupigia hatua hivi I'm sorry to say this,pelekeni Shule watoto na muuche kuozesha watoto.Tujivunie population lakini tuongeze quality.Njombe idadi ndogo lakini yenye impact.Kiuhalisia Njombe Ina watu wengi sema tumesambaa mikoa mbali mbali kukusanya Hela.
sio kwamba yale magorofa marefu ni pamoja na zile nyumba za kuishi wananchi hata kama ni gorofa moja... hata kama ni nyumba juu ya nyumba...Mimi siamini ndio maana nimekaa kimya kuhusu hii sensa, kuna kitu kinatafutwa hapa
List hiyo hapo...Idadi ya Watu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Tabora
4. Morogoro
5. Dodoma
6. Kagera
7. Geita
8. Tanga
9. Kigoma
10. Arusha
Nyanda za juu kusini hakuna top 10 hata mkoa mmoja...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kanda ya ziwa kiboko yao
Mikoa mitano kati ya kumi ina watu wengi ukiweka na Tabora...Kanda ya ziwa kiboko yao
Kuna siku mliwahi kukosa excuses nyie tumbili?Mimi siamini ndio maana nimekaa kimya kuhusu hii sensa, kuna kitu kinatafutwa hapa
Hizi Takwimu zako hazina heading,kama vipi Tuwekee pdf ya nbsIdadi ya zahanati ,vituo vya afya na hospitali
View attachment 2403508