Kahama VS Njombe/Mafinga

Waliwaongezea watu hewa 400k
Ndo maama hata takwimu zao za umaskini huwa siziamini mimi?wanapika pika data ...

Eti lindi , singida , dodoma, mara nk wanamaisha bora kuliko kagera!!

Kwa mkoa wilaya ambazo zinaumaskini na ninaweza kukubali ni ngara na biharamulo peke yake...nyingine zilizobaki huo umaskini uko kwa chini sana....na maisha ya kagera sio magumu kiasi hicho ...

Eti asilimia 30 wanakosa 50000 kwa mwezi..hiv mtu ukose 50k kwa mwezi na uishi nyumba 30million? Na wengine mpaka maghorofani...

Kuna wilaya kama muleba nyumba za ovyo zinakaribia kuisha kabisa
 
Soma takwimu za gorofa uone mnavo achwa na arusha
Hizi takwimu hiziπŸ™„πŸ™„πŸ™„ ni hatari adi Tanga na kilimanjaro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati Mwanza walishaacha kujenga nyumba za kawaida kitambo sana, maeneo kama capripoint, bwiru, nyasaka, kirumba, nyegezi n.k ni nyumba za ghorofa tu.
 
Makazi bora bado dar na Mwanza zinaongoza kwa kila kitu, ila idadi ya gorofaπŸ™„πŸ™„πŸ™„ Mwanza inazidiwa na Tanga, kilimanjaro, arusha,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hizi takwimu hizi
Wasukuma na magorofa wapi na wapi Mzee?

Usilinganishe Mikoa iliyostaarabika kitambo na nyie Wala michembe.
 
Wasukuma na magorofa wapi na wapi Mzee?

Usilinganishe Mikoa iliyostaarabika kitambo na nyie Wala michembe.
Hizo miji nazijua mkuu ndio maana nikaweka doubts asee huko Tanga, arusha, moshi nimetembea sna huko napajua, Mwanza ina makazi bora sana kwa hapa Tanzania ukitoa Dar bila ushabiki.
 
Msijisahaulishe kwamba hii ni batle..

Miongoni mwa Majengo yanayoendelea kujengwa Kwa mujibu wa sensa..

Sumbawanga πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221031_185430_969.jpg
    786.1 KB · Views: 8
  • IMG_20221029_131232_705.jpg
    1.2 MB · Views: 8
  • IMG_20221029_130807_516.jpg
    977.7 KB · Views: 9
  • IMG_20221029_114339_336.jpg
    1.5 MB · Views: 9
  • IMG_20221029_114338_783.jpg
    1.6 MB · Views: 7
Hizo miji nazijua mkuu ndio maana nikaweka doubts asee huko Tanga, arusha, moshi nimetembea sna huko napajua, Mwanza ina makazi bora sana kwa hapa Tanzania ukitoa Dar bila ushabiki.
Makazi Bora au makazi mengi? Kwani kuwa mengi ndio necessarily kwamba ni bora?

Mwanza haiwezi kuzidi Tanga kwa Majengo ya ghorofa wewe,afu Tanga ina Halmashauri 11 vs 7 za Mwanza..

Afu nani kakwambia hizo ni Takwimu za Mjini pekee? Hizi ni Takwimu za Mkoa mzima.
 
Ningetamani kuona hizo neighbourhoods za miji ya Tanga, Moshi na Arusha inayozidi Mwanza idadi ya gorofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…